Duh, mkuu ni kampuni gani hiyo?Hatua endelevu zinafaa kuzingatiwa na kusisitizwa hadi hizi ajali zipungue kwa kiasi kikubwa. Kule Bongo kuna madereva wa wa mabasi ya mikoani hubadilishana barabara wakati wanapishana, yaani kuchezea maisha ya binadamu. Niliona kwenye TV wakieleza vile wao hufanya hicho kitu hadi nikaingiwa na hofu kweli kweli.
Sababu zinazosababisha ajali Afrika ni nyingi sana
-Madereva wa magari ya abiria wahuni, walevi na wavuta bangi. Pia, madereva wanapata maslahi kidogo na kufanya kazi katika hali ngumu.
-Serikali zetu kutokudhibiti elimu inayotolewa na vyuo binafsi vya udereva.
-Kuwepo kwa leseni za udereva nyingi bandia ambapo mtu yeyote anaweza kupata bila kupata mafunzo ya kutosha (mambo ya River road).
-Kutokuwa na sheria kali za kudhibiti madereva wazembe.
-Askari wa usalama barabarani kupokea rushwa na kuacha magari mabovu yaendelee na safari.
-Viongozi wetu kupuuzia ajali na kutokufanya juhudi zozote za kumaliza tatizo.
Suluhisho
-Serikali zetu zidhibiti vyuo binafsi vya udereva na kuhakikisha leseni hazitolewi mitaani kama njugu.
-Serikali zihakikishe kuwa madereva wa mabasi na malori wana mikataba ya kazi na kufanya kazi katika mazingira rafiki.
-Kuweka sheria kali za makosa ya barabarani.
-Dhana potofu kuwa ajali ni mapenzi ya Mungu zikomeshwe.
Unakuta dereva amevuta bangi na viroba amepeleka gari mtoni halafu wanasema eti Mungu alipanga,... Ufala kweli !Umeidadavua vizuri sana, ila hiyo sentensi ya mwisho ndio tatizo kubwa Afrika, kwamba kila ajali au kifo ni mapenzi ya Mungu. Watu tumejiaminisha mambo yasioendana hata na dini zetu, mtu anakua mvivu kwenye kuzingatia usalama barabarani halafu anasema anamtegemea Mungu atamlinda.
Duh, mkuu ni kampuni gani hiyo?
Halafu ukisafiri bongo usisafiri na kampuni zisizoeleweka, Kuna baadhi zina madereva vichaa sana.,
Kuna kampuni nzuri zinaajiri professional drivers,
Kuna madereva wa ajabu sana safarini,
Abiria nao ni kama wamepigwa ganzi hawakemei tabia zisizo faa safarini.
Hatua endelevu zinafaa kuzingatiwa na kusisitizwa hadi hizi ajali zipungue kwa kiasi kikubwa. Kule Bongo kuna madereva wa wa mabasi ya mikoani hubadilishana barabara wakati wanapishana, yaani kuchezea maisha ya binadamu. Niliona kwenye TV wakieleza vile wao hufanya hicho kitu hadi nikaingiwa na hofu kweli kweli.
ππππ!...........si ndizo zao wadini waafrika!...wafia dini!Unakuta dereva amevuta bangi na viroba amepeleka gari mtoni halafu wanasema eti Mungu alipanga,... Ufala kweli !
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Kuna dereva flani nilimkemea nikiwa naenda zangu Nanyuki. Matatu za Nanyuki Cabs, afu abiria wenzangu wananikemea, eti wamechelewa. Kilichoniudhi kulikuwa na mwanamke ana mtoto mchanga sana, ameketi ile siti nyuma ya dereva, anateseka akizuia mtoto wake asiumie. Gari linaendeshwa kama safari rally. Tunarushwa huku na kule. Nilitulia tuli nikataimu tulipoingia petrol station, nikawai nje haraka nikamshika dereva mashati, nikashikwa na wazimu nikamzaba kofi kadhaa za kilo, alikuwa amenitusia mamangu bana. Yaani baada ya hapo gari liliendeshwa mos mos, utadhani tunaenda zetu harusini. Afu hamna abiria aliyetaka kunitizama machoni. Hawa madereva wanachojua ni hela tu. Washenzi sana.
Kuna dereva flani nilimkemea nikiwa naenda zangu Nanyuki. Matatu za Nanyuki Cabs, afu abiria wenzangu wananikemea, eti wamechelewa. Kilichoniudhi kulikuwa na mwanamke ana mtoto mchanga sana, ameketi ile siti nyuma ya dereva, anateseka akizuia mtoto wake asiumie. Gari linaendeshwa kama safari rally. Tunarushwa huku na kule. Nilitulia tuli nikataimu tulipoingia petrol station, nikawai nje haraka nikamshika dereva mashati, nikashikwa na wazimu nikamzaba kofi kadhaa za kilo, alikuwa amenitusia mamangu bana. Yaani baada ya hapo gari liliendeshwa mos mos, utadhani tunaenda zetu harusini. Afu hamna abiria aliyetaka kunitizama machoni. Hawa madereva wanachojua ni hela tu. Washenzi sana.
Alikuwa mkenya baadaye tulipata kwenye route hiyo maanake nilikuwa nasafiri sana, hadi tukajuana vyema. Nilimchapa suprise alikuwa ananidharau nikiwa nimeketi kwenye gari. Tulipoonana one on one jamaa mwenyewe hata kichwa ningemkaba tu nimsukumie kwapani. Alidhani ntammaliza lakini frastreshen zangu zilikuwa kidogo tu. πππHeheheh!! Huyo atakua dereva Mtanzania, maana kama ni Mkenya lazima mngezipiga, sitegemei Mkenya azabwe makofi halafu yaishe, inabidi muende chini kwa mieleka, nakumbuka enzi zangu za Konyagi halafu nilikua nacheza tae-kwondo, ugomvi na vita dhidi ya makondakta na madereva, ila kuna siku nilichezea kichapo maana walinizingira.
Anyway pole bana, na hongera sana kwa kuzusha maana huwa nakerwa sana unakuta baada ya ajali jamaa wanahojiwa wakiwa wamelazwa