EATV awards 2016 nominees: Hatua ya kupiga kura

Kosa la nani sasa
 
Heeeeee!!!!!!!! Tm nani vile ww
 
Hizi ni akili za kitumwa, hakuna tv station inayotazamwa na Watanzania wengi zaidi ya ITV wana EA tv kwa ajili ya entertainment na wana EA redio inasikika mpaka Nairobi na Kampala, achana na hicho kiredio cha washambenga clouds kinachoishia Magomeni.
Umemaliza
 
Anasema Hataki Tuzo Eti Mziki Wake Ni Mkubwa Kuliko Tuzo, Halafu Anakimbilia Kwenda Kujaza Fomu Za EATV Awards! Kweli Too Many Dump People In This World.God Help! - WizkidAyo
Namshukuru Mungu kwakua kadiri chuki zinavyo zidi juu yake ndivyo anavyo zidi kubarikiwa. We pandikiza chuki hapo uendelee kumpa mafanikio
 
Kosa la nani sasa
Mfumo wa kuchukua form na kujipendeza kwenye categories unapunguza hamasa na value.
Raha ya tuzo upiga kazi nzuri then unaletewa taarifa umechaguliwa kuwania tuzo fulani, hata wewe mwenyewe unajifeel proud wadau wameiona kazi yangu , mfano umekaa unaletewa taarifa umechaguliwa kuwania tuzo za grammy, BET au Mtv ile feeling unaojisikia ndo value ya tuzo.
Sasa wewe unajipendekeza mwenyewe inaondoa msisimko kwa kweli inakuwa kama umelazimisha
 
Kiba ni haki yake kuwahia hizi tuzo, kwenye kabati lake ana uhaba wa tuzo mwacheni atleast na yeyey aongeze ongeze
Wewe kwenye maisha yako ni kipi cha kukumbukwa ulicho fanya? Mwenzenu kwa juhudi zake kafika alipo ila kwakua ww una tabia za ibilisi unakalia majungu eti kisa umpendi?!!! Kwani we nani?
 
Hiyo video ya KIDOGO imetoka lini? KWANINI WATU HAWASOMI VIGEZO LAKINI...
 
Sio lazima iwe kama ilivyo zoeleka. Tofauti ipo kwenye kujipendekeza tu lkn mchakato wa kupiga kura upo pale pale... Utaelewa tu
 
Wewe kwenye maisha yako ni kipi cha kukumbukwa ulicho fanya? Mwenzenu kwa juhudi zake kafika alipo ila kwakua ww una tabia za ibilisi unakalia majungu eti kisa umpendi?!!! Kwani we nani?
Mimi ni mimi, punguza povu soma mada uelewe vizuri usitumie hisia kujieleza tumia ubongo.
Hujapewa ubongo kama pambo mkuu
 
Wewe kwenye maisha yako ni kipi cha kukumbukwa ulicho fanya? Mwenzenu kwa juhudi zake kafika alipo ila kwakua ww una tabia za ibilisi unakalia majungu eti kisa umpendi?!!! Kwani we nani?
Naona upo emotional sana na mambo ya mtandaoni kaka....punguza mapovu huyo unaemtetea hakupi ata hilo bando la kujibishana hum jf....wengne wapo humu for fan
 
Sio lazima iwe kama ilivyo zoeleka. Tofauti ipo kwenye kujipendekeza tu lkn mchakato wa kupiga kura upo pale pale... Utaelewa tu
Nadhani hujaelewa hoja yangu ya mshingi sizungumzii taratibu za kupata mshindi nazungumzia taratibu za kupata washiriki
 
Nadhani hujaelewa hoja yangu ya mshingi sizungumzii taratibu za kupata mshindi nazungumzia taratibu za kupata washiriki
Ndo mana namm Nikakwambia tofauti ipo hapo tu kwenye kumpata mshiriki baada ya hapo hatua zingine ni zile zile. Acha waje kivingine
 
Nadhani hujaelewa hoja yangu ya mshingi sizungumzii taratibu za kupata mshindi nazungumzia taratibu za kupata washiriki
Utachubuka vidole kubishana na mashabiki wa kiba yaani ni mashabiki ambao wapo desperate sana na mafanikio ya msanii wa upande wa pili so wapo radhi kwa kila kitu matusi kuharibu show pale diamond anapokuwepo show ambayo kiba yupo watafanya kila namna ili domo show imvurugikie
 
Kama wamarekan tu ni wajanja wajanja kwenye kutoa tuzo VP hizi za hapa Kwetu. Mi nashauri EATV waachane na haya mambo wafanye shuguri zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…