Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati Sheta anahojiwa hakuwa comfortable kabisa,nafikiri uwepo wa Ally Kiba ulimfanya ashindwe kujiamini (Shetta ni mshikaji wa Diamond)Sasa Nafikiri ni Wakati wa Wasanii...kukisusia Kipindi cha Friday Night Live! Cha EATV....kwa walio ona kipindi hicho juzi wakati shetta anahojiwa watakuwa wameona na kupata picha nini kinaendelea katika tuzo za EATV awards
Ila sami missago sikupenda alivokuwa akimchukilia mbele ya kiba alikuwa kama anamshushia hadhi iv kulinganisha na alivokuwa akimchukulia kibaWakati Sheta anahojiwa hakuwa comfortable kabisa,nafikiri uwepo wa Ally Kiba ulimfanya ashindwe kujiamini (Shetta ni mshikaji wa Diamond)
Kwenye Vanessa weka Lady Jay DeeYaani bila kupepesa jicho iko hv
Msanii chipukizi ni MAN FONGO
Muizaji wa kike CHUCHU HANS
Kundi bora SAUT SOL
Video bora DON'T BOTHER
Msanii bora wa kiume GABU
Filamu bora SAFARI YA GWALU
Wimbo bora wa mwaka MOYO MASHINE
Msanii bora wa mwaka ALIKIBA
Msanii bora wa kike Vanessa Mdee
Kwenye Vanessa weka Lady Jay Dee
Darasa naye anafanya Hip Hop.Category ya kutafuta Msanii bora wa HIP-Hop kwa mwaka 2016 bila Darassa mmhh inaleta ukakasi