EATV awards 2016 nominees: Hatua ya kupiga kura

EATV awards 2016 nominees: Hatua ya kupiga kura

Mimi nimeshapiga kura.Acha waisome namba.
 
Sasa Nafikiri ni Wakati wa Wasanii...kukisusia Kipindi cha Friday Night Live! Cha EATV....kwa walio ona kipindi hicho juzi wakati shetta anahojiwa watakuwa wameona na kupata picha nini kinaendelea katika tuzo za EATV awards
 
Wakati Sheta anahojiwa hakuwa comfortable kabisa,nafikiri uwepo wa Ally Kiba ulimfanya ashindwe kujiamini (Shetta ni mshikaji wa Diamond)
 
Wakati Sheta anahojiwa hakuwa comfortable kabisa,nafikiri uwepo wa Ally Kiba ulimfanya ashindwe kujiamini (Shetta ni mshikaji wa Diamond)
Ila sami missago sikupenda alivokuwa akimchukilia mbele ya kiba alikuwa kama anamshushia hadhi iv kulinganisha na alivokuwa akimchukulia kiba
 
Yaani bila kupepesa jicho iko hv

Msanii chipukizi ni MAN FONGO

Muizaji wa kike CHUCHU HANS

Kundi bora SAUT SOL

Video bora DON'T BOTHER

Msanii bora wa kiume GABU

Filamu bora SAFARI YA GWALU

Wimbo bora wa mwaka MOYO MASHINE

Msanii bora wa mwaka ALIKIBA

Msanii bora wa kike Vanessa Mdee
Kwenye Vanessa weka Lady Jay Dee
 
Inabidi tukubali japo tunawapenda EATV ila kwa hili wamechemka, msanii kujipendekeza mwenyewe kwenye tuzo ni nonsense!
 
Category ya kutafuta Msanii bora wa HIP-Hop kwa mwaka 2016 bila Darassa mmhh inaleta ukakasi
 
Chibu dangote haepukiki, we unadhani tuzo ya heshima kwa mtu aliyeufanyia mziki mambo makubwa atapewa nani ?
 
Back
Top Bottom