EATV and Radio ilikua zamani kulikua na contents za EA kweli hadi watangazaji kutoka nchi zote tatu siku hizi limebaki jina, tangu alipo fariki Rodney media nayo ikafa.EATV kujiita east African tv kushindwa kurusha Kenya election ni aibu
Hili litv linajiita east africa television cha ajabu kenya matangazo yanarushwa ya urais tv hii ipo inapifa music na hawana habari
Halafu wanajiita Eatv kwanini wasibadili jina?
Haki miliki za kutangaza hujui wewe?Hovyo sana... Na mimi niliwafatilia nikaona holaa! Yaani hata kujiunga na KBC walishindwa?
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Umbea unamsumbuaHaki miliki za kutangaza hujui wewe?
Kenya mtangazaji biashara tena kubwa ulidhanini wanajiunga for free?
Acha kutetea ujinga EA Radio wana frequency Kampala 99.0 Nairobi 94.70 ajabu hawana hata reporters miji hio si waondoke tu hukoWabongo tunapenda Sana kulalamika.miliki tv yako ufanye unachotaka
[emoji3][emoji3][emoji3]kwahyo vilaza ni wa vyuo vya kataHakuna kitu pale eatv,ilibidi iitwe tv ya mtaani dar,hakuna content zozote kutoka Uganda,Rwanda,Burundi,Kenya,congo,Wala south Sudan,
Tv imejaa vilaza waliosomea vyuo vya kata,Wana akili ndogo sana,wanachojua ni story za udaku,program za hovyo kama dadas,uelewa mdogo,yaani imebaki kama kituo Cha mipasho ya taarab,na vijembe
Kuna umuhimu wa kumkutanisha huyu mwamba na Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowasa ili ampe somo la kukubali kushindwa.