Kenya 2022 EATV kujiita East African TV kushindwa kurusha Uchaguzi wa Kenya ni aibu

Kenya 2022 EATV kujiita East African TV kushindwa kurusha Uchaguzi wa Kenya ni aibu

Kenya 2022 General Election

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
EATV kujiita east African tv kushindwa kurusha Kenya election ni aibu

Hili litv linajiita east africa television cha ajabu kenya matangazo yanarushwa ya urais tv hii ipo inapifa music na hawana habari

Halafu wanajiita Eatv kwanini wasibadili jina?
 
20220815_185624.jpg
 
EATV and Radio ilikua zamani kulikua na contents za EA kweli hadi watangazaji kutoka nchi zote tatu siku hizi limebaki jina, tangu alipo fariki Rodney media nayo ikafa.
 
Mkuu hiyo ni brand tuu na sio kama ulivyomaanisha wewe

Alafu uchaguzi wa kenya unakuhusu nini?
 
Hakuna kitu pale eatv,ilibidi iitwe tv ya mtaani dar,hakuna content zozote kutoka

Uganda, Rwanda, Burundi, Kenya, Congo, Wala south Sudan

Tv imejaa vilaza waliosomea vyuo vya kata,Wana akili ndogo sana,wanachojua ni story za udaku, program za hovyo kama dadas, uelewa mdogo, yaani imebaki kama kituo Cha mipasho ya taarab,na vijembe
 
Hakuna kitu pale eatv,ilibidi iitwe tv ya mtaani dar,hakuna content zozote kutoka Uganda,Rwanda,Burundi,Kenya,congo,Wala south Sudan,
Tv imejaa vilaza waliosomea vyuo vya kata,Wana akili ndogo sana,wanachojua ni story za udaku,program za hovyo kama dadas,uelewa mdogo,yaani imebaki kama kituo Cha mipasho ya taarab,na vijembe
[emoji3][emoji3][emoji3]kwahyo vilaza ni wa vyuo vya kata
 
tzgospel radio ndio radio pekee ya online iiliyo rusha matangazo ya live
Screenshot_20220815-203550.png
 
Hakuna sababu ya kurusha hayo matangazo ya uchaguzi wa kenya
 
Back
Top Bottom