EATV mnakoelekea mnatia aibu sana!!!

Udochi

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2015
Posts
787
Reaction score
1,056
Kipindi cha FNL kinatazamwa na watu wengi sana.
Sasa kuna jamaa mmoja wamemweka pale anajichetuachetua tu kama zezeta,
Mara ainame, mara aoneshe mlegezo, atembee kwa kujirusharusha, mara ajirambe midomo

Yaani mtu mmoja tu anachafua atmosphere nzima ya kipindi! Halafu na huyu naye eti ni mtangazaji!!! Bila shaka huyu kaingizwa hapo kama toi tu kwa kujuana, Huyu hana hata sifa ya kuwa public figure huyu!!!

Wenye dhamana mliomweka huyo mmbwelaji hapo, Hata kama ni ndugu yenu, tafuteni namna ingine ya kumsaidia, Ila kwa kipengele hicho huyo habebeki, bali anazidi kuwatia aibu tu.

Kwani hapo ofisini hakuna kazi zingine za kumpa mumsaidie?? Au mnataka kusema huyo hawezi kazi zingine kama vile kufagia, kusafisha mazingira ya ofisi au kukaa mapokezi??

HII ni aibu kubwa sana kwa EATV!!!
 
HHahaa....mtoa mada ulikua kwenye akili yangu,kiukweli nimeshindwa kuelewa jamaa anafanya nini,au yuko field?..ndo maana Roma alimchana kuwa kapataje ajira wakati kuna wana kibao competent wako mtaani......
 
HHahaa....mtoa mada ulikua kwenye akili yangu,kiukweli nimeshindwa kuelewa jamaa anafanya nini,au yuko field?..ndo maana Roma alimchana kuwa kapataje ajira wakati kuna wana kibao competent wako mtaani......
Ni sam misago huyo kuna mwiNgine ?
 
Aisee kumbe leo ni Ijumaa?? Nilitakiwa niwe karibu ya TV yangu niwacheki wale vijana wa Shilawadu....
 
Sio Sam Misago,
Kuna mpuuzi flani hivi ambaye ukimwona tu ni lazima uutilie mashaka mfumo wake wa fikra kichwani!
Nilitaka nishangae Sam wangu hizo tabia kaanza lini, wakati kipindi cha ENEWZ anakipeleka pouwa tu ye na Suzi Hicho Friday nin sijui sikifatiliagi a
Sana mida yke mibovu wengine Tunalea watt watu wazima[emoji41] [emoji124]
 
Hahahahaha wakuu mnaponda natamani ningemuona huyo mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…