Udochi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 787
- 1,056
Kipindi cha FNL kinatazamwa na watu wengi sana.
Sasa kuna jamaa mmoja wamemweka pale anajichetuachetua tu kama zezeta,
Mara ainame, mara aoneshe mlegezo, atembee kwa kujirusharusha, mara ajirambe midomo
Yaani mtu mmoja tu anachafua atmosphere nzima ya kipindi! Halafu na huyu naye eti ni mtangazaji!!! Bila shaka huyu kaingizwa hapo kama toi tu kwa kujuana, Huyu hana hata sifa ya kuwa public figure huyu!!!
Wenye dhamana mliomweka huyo mmbwelaji hapo, Hata kama ni ndugu yenu, tafuteni namna ingine ya kumsaidia, Ila kwa kipengele hicho huyo habebeki, bali anazidi kuwatia aibu tu.
Kwani hapo ofisini hakuna kazi zingine za kumpa mumsaidie?? Au mnataka kusema huyo hawezi kazi zingine kama vile kufagia, kusafisha mazingira ya ofisi au kukaa mapokezi??
HII ni aibu kubwa sana kwa EATV!!!