EATV mnakoelekea mnatia aibu sana!!!

Nilitaka nishangae Sam wangu hizo tabia kaanza lini, wakati kipindi cha ENEWZ anakipeleka pouwa tu ye na Suzi Hicho Friday nin sijui sikifatiliagi a
Sana mida yke mibovu wengine Tunalea watt watu wazima[emoji41] [emoji124]
Dah Suz aiseee basi tu
 
Mods naomba mrekebisha title isomeke hivi;

"EATV mnakoelekea mnatia AIBU sana"

Nilikosea nikapost bila kuedit kwa jinsi huyo mpuuzi anavyokera kwenye kipindi.
 
Nimeimiss EATV ya zamani yenye STRICTLY KENYAN, UGANDAN CENTRAL, HIP HOP BASE, TEXT LIVE, IN DA HOUZE,.

[HASHTAG]#bringbackouroldeatv[/HASHTAG] please.
City Sound ya Seki, Kuna kile kipindi cha kushindanisha video 2 then watazamaji wanavote sijui kiliitwaje, top 10 kila saa4 usiku
 
Mimi huyo jamaa alishaniboa tangu siku ya kwanza sema nikaona nikaushe nisije kuzodolewa humu jf kumbe tuko wengi, but sidhani kama ni mtangazaji nadhan ni muuza sura tu kama ilivyokuwa kwa Giggy Money enzi zile, sidhani kama eatv wanaweza kuajiri bwege kama yule
 
City Sound ya Seki, Kuna kile kipindi cha kushindanisha video 2 then watazamaji wanavote sijui kiliitwaje, top 10 kila saa4 usiku

kile kipindi cha kuVote kiliitwa TEXT LIVE. watazamaji walikuwa wanachat moja kwa moja hadi raha. kipindi cha seki wamekibadilisha jina now ndo kinaitwa Uswazi. so baada ya seki kuondoka pale uongozi wa eatv wakaamua kuboresha ile show wakaiita hivyo na mussa hussein akawa host. seki alirudi kivingine kwenye ile ze comedy ya zamani pale eatv akiwa kama producer na voice over.

[HASHTAG]#BringBackOurOldEATV[/HASHTAG]
 
Humu JF alisemwaga yule punga Deo wa EATV kipindi cha NIRVANA mpk akaacha kazi EATV wiki iliyofuata hahah.Si mchezo humu
 
hawa

hawa mabishoo wengi wa mjini ni mashoga kuna hawa watangazaji wa radio wa kiume wanagongwa sana na marketing and sales people wa makampuni yanayodhamini vipindi vyao haswa ya simu na vinywaji,kuna ushoga mkubwa sana unaendelea kichinichini
Acha mihemko mkuu..kuwa mtu civilized
 
EATV ingekuwa mbali sana kama Rodney angekuwa yu hai maana ndoto zake ilikuwa iwe kituo kikubwa cha entertainment east and central africa.
Kumbuka ilivyokuwa imebamba sana kenya na uganda lakini alipokufa akafa na ndoto zake.
Ebu kumbuka vipindi vizuri vya enzi hizo.
Miss the old days when blackberry and apple were still fruits
 
Humu JF alisemwaga yule punga Deo wa EATV kipindi cha NIRVANA mpk akaacha kazi EATV wiki iliyofuata hahah.Si mchezo humu
Usitoe boriti kwa jicho la mwenzako ukasahau banzi kwenye jicho lako. Huyo anae muita hivyo una ushaidi? Au kipindi alicho kua akitangaza. Haya sasa anarudi tena.

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
 
Usitoe boriti kwa jicho la mwenzako ukasahau banzi kwenye jicho lako. Huyo anae muita hivyo una ushaidi? Au kipindi alicho kua akitangaza. Haya sasa anarudi tena.

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
Mwambie karibu sana.Au unataka nisemaje kwa mfano..
 
,sepenga na junior jr
Cjui nan aliwaingiza hapo yan
Wanaharbu kabsa kipind
 

sikumbuki mara ya mwisho nuimetaza lini hiko kipindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…