Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,112
Kenyan na Ug Central zipo EA RadioNimeimiss EATV ya zamani yenye STRICTLY KENYAN, UGANDAN CENTRAL, HIP HOP BASE, TEXT LIVE, IN DA HOUZE,.
[HASHTAG]#bringbackouroldeatv[/HASHTAG] please.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenyan na Ug Central zipo EA RadioNimeimiss EATV ya zamani yenye STRICTLY KENYAN, UGANDAN CENTRAL, HIP HOP BASE, TEXT LIVE, IN DA HOUZE,.
[HASHTAG]#bringbackouroldeatv[/HASHTAG] please.
Jaribu kuwa hata na aibu mkuu, huyo mtoto anachafua kipindi..kinaonekana cha hovyo hovyo!Wivu wa kijinga ndo unatugharimu bongo aisee, jamaa yuko powaah tu kakaeni nyie Ile nafasi baasi
Nimependa Miguu ya kwenye avatar yakoAu unamsemea Dulla kwa planet bongo????
Dah Suz aiseee basi tuNilitaka nishangae Sam wangu hizo tabia kaanza lini, wakati kipindi cha ENEWZ anakipeleka pouwa tu ye na Suzi Hicho Friday nin sijui sikifatiliagi a
Sana mida yke mibovu wengine Tunalea watt watu wazima[emoji41] [emoji124]
City Sound ya Seki, Kuna kile kipindi cha kushindanisha video 2 then watazamaji wanavote sijui kiliitwaje, top 10 kila saa4 usikuNimeimiss EATV ya zamani yenye STRICTLY KENYAN, UGANDAN CENTRAL, HIP HOP BASE, TEXT LIVE, IN DA HOUZE,.
[HASHTAG]#bringbackouroldeatv[/HASHTAG] please.
City Sound ya Seki, Kuna kile kipindi cha kushindanisha video 2 then watazamaji wanavote sijui kiliitwaje, top 10 kila saa4 usiku
hawa mabishoo wengi wa mjini ni mashoga kuna hawa watangazaji wa radio wa kiume wanagongwa sana na marketing and sales people wa makampuni yanayodhamini vipindi vyao haswa ya simu na vinywaji,kuna ushoga mkubwa sana unaendelea kichinichiniUyo jamaa ni chakula kwa wanaomjua vzr
Anarudi tena eatvHumu JF alisemwaga yule punga Deo wa EATV kipindi cha NIRVANA mpk akaacha kazi EATV wiki iliyofuata hahah.Si mchezo humu
Acha mihemko mkuu..kuwa mtu civilizedhawa
hawa mabishoo wengi wa mjini ni mashoga kuna hawa watangazaji wa radio wa kiume wanagongwa sana na marketing and sales people wa makampuni yanayodhamini vipindi vyao haswa ya simu na vinywaji,kuna ushoga mkubwa sana unaendelea kichinichini
Usitoe boriti kwa jicho la mwenzako ukasahau banzi kwenye jicho lako. Huyo anae muita hivyo una ushaidi? Au kipindi alicho kua akitangaza. Haya sasa anarudi tena.Humu JF alisemwaga yule punga Deo wa EATV kipindi cha NIRVANA mpk akaacha kazi EATV wiki iliyofuata hahah.Si mchezo humu
Mwambie karibu sana.Au unataka nisemaje kwa mfano..Usitoe boriti kwa jicho la mwenzako ukasahau banzi kwenye jicho lako. Huyo anae muita hivyo una ushaidi? Au kipindi alicho kua akitangaza. Haya sasa anarudi tena.
Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
Kipindi cha FNL kinatazamwa na watu wengi sana.
Sasa kuna jamaa mmoja wamemweka pale anajichetuachetua tu kama zezeta,
Mara ainame, mara aoneshe mlegezo, atembee kwa kujirusharusha, mara ajirambe midomo-
yaani upumbavu mtupu!
Yaani mtu mmoja tu anachafua atmosphere nzima ya kipindi!
Halafu na huyu naye eti ni mtangazaji!!!
Bila shaka huyu kaingizwa hapo kama toi tu kwa kujuana,
Huyu hana hata sifa ya kuwa public figure huyu!!!
Wenye dhamana mliomweka huyo mmbwelaji hapo,
Hata kama ni ndugu yenu, tafuteni namna ingine ya kumsaidia,
Ila kwa kipengele hicho huyo habebeki, bali anazidi kuwatia aibu tu.
Kwani hapo ofisini hakuna kazi zingine za kumpa mumsaidie??
Au mnataka kusema huyo hawezi kazi zingine kama vile
kufagia, kusafisha mazingira ya ofisi au kukaa mapokezi??
HII ni aibu kubwa sana kwa EATV!!!