EATV mnatia huzuni kwa kweli, tuzo za makalio?

EATV mnatia huzuni kwa kweli, tuzo za makalio?

UncleBen

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Posts
9,673
Reaction score
12,265
Sijawahi kujua ni utaratibu upi unatumika kukagua kipindi kabla hakijaenda hewani.

Nimekaa hapa na Bi Mkubwa na mwanangu wakati na switch Chanel kutoka TBC kwenda EATV baada ya kusikiliza maadhimisho ya siku ya baba Wa taifa ghafla NIVARNA wakawa wana tuzo sijui list ya wanawake wenye makalio Tanzania. Tujifanye wazungu sijui mnaishi LA au Paris hili swala sio sahihi.

Niiteni old fashioned, mshamba, vyovyote vile ila kuna kauli moja ya ninaimini sana na inasema "The world suffers a lot not because of the violence of bad people but because of the silence of good people".

Mnachokifanya EATV sio sahihi..
 
Labda kama nilielewa vibaya ila niliona wanasema ya kwamba wataeleza madhara ya makalio ya bandia(mchina)japo kipindi sijakiona.

Ndugu yangu sio madhara walikua wanafanya promotion ya makalio na Masogange kashika namba moja
 
Ok, mi siwasapoti wala siwapingi kwasababu kuna vitu viko aut lazima vichechi ninani leo hii asiyeyaona makalio makubwa ??????? au ile ya mamodo ndo iko powa ???????mana vyote ni uzalilishaji tu na si kila kinachofanywa na jamii basi ni lazima na wewe kikushike ndo kiwe kizuri hapana vingine ni burudani kwa wengine
 
Sijasema ni tatizo kusifia makalio hayo mambo Fanya hivyo huko kwenye ma disko na chumbani sio kwenye television inayo tazamwa na watu Wa rika zote
Ungekua umekaa na mwanao Wa miaka sita alafu anakuambia baba kwanini mama Hana makalio kama yale ungemjibuje ????
 
Back
Top Bottom