EATV mnatia huzuni kwa kweli, tuzo za makalio?

Wadau mnachoongea kua ni irrelevant content isiyozingatia hadhira yetu ni kweli!
ila tukumbuke ishu ya maadili imebaki kuwa juu ya WEWE NA FAMILIA YAKO!
hayo ndio matokeo ya utandawazi na soko huria..so unapopinga hayo wanaokuzunguka especially wa kizazi cha .com hawakuelewi ni as if unavutana na muda..so its too late to catch z train..cha kufanya switch channel..dunia ndo ilipo huko wewe mwenyewe chagua what to watch cause the market is full of garbage nowdays!

Sawa Mkuu kwa sababu ndio hivyo basi ndio tukae tu utandawazi utupeleke unavyotaka ??
 
Mimi sijaona tatizo na hayo mashindano kama kweli yapo , kwani naamini hayo makalio yatakua yamesitiriwa na nguo , mbona kuna mashindano ya kutunisha misuli na zile njemba zinavaa zaidi ya robo tatu uchi

Sawa Mkuu , huenda utamaduni wako unaruhusu
 
Mshindi wa pili kwa makalio makubwa anaipigia kampeni chama tawala afu unategemea mamlaka husika (TCRA) ambayo iko chini ya chama tawara ikemee?! Tunaposema serikali imechoka tunamaanisha imechoka katika kila sector hata kusimamia maadili na mienendo safi ya watu wake.

Mkuu acha tu ,ila ndio naskia ni uzungu huo,na umeona comments za baadhi ya wadau kwamba ni sawa kabisa
 
Sawa Mkuu kwa sababu ndio hivyo basi ndio tukae tu utandawazi utupeleke unavyotaka ??

Kosa halirekebishwi kwa kosa mkuu,finally tuna regulatory agencies za media.kama content haikidhi au maudhui yake yana ukakasi kwa mustakabali wa Taifa then warekebishr.ingawa tunarudi pale pale kuwa-you have the choice on what to watch...tumia remote control yako vizuri manake hili soko huria ni sheedah ukiliachia likuchagulie!
 
Mkuu ni kweli kuna Parental control na sio sehemu zote watu wanaelewa hivyo ,kama hizi authorities hazitasimamia kwa ufasaha urushaji Wa hivyo vipindi basi mwanao anaweza akaangalia kwa rafiki yake
Besides sio muda wote tunakaa nyumbani wengine unafanya kazi miezi 3 ndio uonane na familia ,regulatory authorities zisipofanya kazi yake ipasavyo ni tatizo
 
Well said..
 
Masogange Mkuu namba moja
Namba 2 ni wema au kajala kama niliona vizuri

Itakuwa Kajala....ilitakiwa awe hata namba1 ..sababu makalio yake yapo classy sana...wengine akina nani katika kumi bora? Yaani kweli we mkali ..yaani ukashindwa kubadilisha chaneli ukaendelea kutoa macho?? wacha kabisa na hiyo kitu...
 
Hahaha mkuu hivyo vitu sina shida vikisifiwa sehemu inayostahili ,tatizo langu tu ni aibu kusifiwa hadharani
 
Back
Top Bottom