Leo big ass....competition n tz....next tym big pussy bby 2 b rewarded a brand new mercedez benz from tandale...
😆😆 Lord ve mercy Mercedes ya Tandale labda Malapa ya umoja ..... Hivi kwanini hatuwezi Ku copy wanaoenda mwezini ,au waliotengeneza daraja la treni chini ya maji London to Paris...ila vitu vya ajabu ndio utaskia Nina Uhuru na maisha yangu naamua nachotaka bla bla bla
Dah sawa Mkuu natamani ungekua na mwanao na mshua au Bibi Mkubwa wako mnaangalia wote alafu akuambie dreams zake ni kua kama Masogange afanyaje ili atimize ndoto zake
Ala hivi kumbe wezere ndio kitu hot kwa wanawake ?? Basi Mimi ntakua naishi kwenye dunia yangu
Una uhur na maisha wakat maisha unayoyaongelea hayana uhuru nawe.....hahaha!only world wil teach dem hw 2 behave beyond environmnt
Hicho kipindi cha kawaida tu labda ka ni Mara yako ya kwanza kukiangalia na siu mpenzi wa mambo ya fashion. Mana mada yako umeifanyia exgration kabisa kubwa kupita kiasi. Nikiwa na daddy huwa ana cheki kabisa na anaelewa kuwa kuna surgery after all hakuna asiye jua makalio na sifa yake kwa mwanamke. Uwe unaangalia na TV nyingine tofauti ujionee
Sijawahi kujua ni utaratibu upi unatumika kukagua kipindi kabla hakijaenda hewani .
Nimekaa hapa na Bi Mkubwa na mwanangu wakati na switch Chanel kutoka TBC kwenda EATV baada ya kusikiliza maadhimisho ya siku ya baba Wa taifa ghafla NIVARNA wakawa wana tuzo sijui list ya wanawake wenye makalio Tanzania
Tujifanye wazungu sijui mnaishi LA ,AU PARIS hili swala sio sahihi
Niiteni old fashioned, mshamba ,vyovyote vile ila kuna kauli moja ya ninaimini Sana na inasema "The world suffers a lot not because of the violence of bad people but because of the silence of good people".
Mnacho kifanya EATV sio sahihi
Ilikuwa kuhusu makalio ya kichina
Aisee sio exgration Mkuu na pia I don't blame you kwa kuamini unavyo amini ,tumelelewa kwenye tamaduni na mazingira tofauti
Kwa utamaduni wangu Mimi hata chumba cha baba yangu na mama yangu siruhusiwi kuingia sembuse kukaa nao naangalia makalio
Kwa hiyo Dady ako anamjua Bruce Jerner ?? Mna Raha
Hicho kipindi cha kawaida tu labda ka ni Mara yako ya kwanza kukiangalia na siu mpenzi wa mambo ya fashion. Mana mada yako umeifanyia exgration kabisa kubwa kupita kiasi. Nikiwa na daddy huwa ana cheki kabisa na anaelewa kuwa kuna surgery after all hakuna asiye jua makalio na sifa yake kwa mwanamke. Uwe unaangalia na TV nyingine tofauti ujionee
Kwani makalio yapo tu kamwe hayaishi mbona kuna vipindi vinaonyeshaga jinsi surgery zinafanyika kuanzia kuchonga pua boo job shape kwani kuangalia ni kosa every thing kwa watu wana perceptions zao wewe umetake negative sana hasa kwa hichi kipindi . Kwani kujua kitu ni dhambi au hairuhusiwi . Jamii nyingi zimelelewa kinafiki kabisa na uoga wa kinafiki kwenye jamii hii wanaume wanavo mind makalio Leo kuonyeshwa kwenye TV eti ni vibaya na sio heshima.
Masogange Mkuu namba moja
Namba 2 ni wema au kajala kama niliona vizuri
Kwani makalio yapo tu kamwe hayaishi mbona kuna vipindi vinaonyeshaga jinsi surgery zinafanyika kuanzia kuchonga pua boo job shape kwani kuangalia ni kosa every thing kwa watu wana perceptions zao wewe umetake negative sana hasa kwa hichi kipindi . Kwani kujua kitu ni dhambi au hairuhusiwi . Jamii nyingi zimelelewa kinafiki kabisa na uoga wa kinafiki kwenye jamii hii wanaume wanavo mind makalio Leo kuonyeshwa kwenye TV eti ni vibaya na sio heshima.
Sijaona shida ya kipindi mana ni fashion na wallikuwa wanaelezea mawezele kitu ambacho ni hot kwa wanawake duniani na Africa na madhara sasa ulitaka waonyeshe nini