EATV mnavyoshabikia upuuzi wa Calisah mnaboa

youngdonats18

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
685
Reaction score
443
Wakubwa hiki kitu naona imenifika kohon sababu ya hawa jamaa wa Eatv radio kuwa na kuhelehele cha kumhoji na kumpost nshu za calisah kila siku yaan kila wakipost huko twitter ni kuhsu calisah tu mara hili mara kesho lile mpaka nikaja kugundua kwmb so mm pekee ninaeudhuka na nshu za huyu jmaa pia raia kibao ssa wameamia kwa eatv na kuanza kuwaona km watu wa ajabu sana kushabikia ujinga
 
How can a man bother to discuss such a low and nonsense issue..Watu wengine hatuna kazi kabisa, lets use our brain to think big...nchi haiwezi kuwa na viwanda kama mawazo yetu ni ya kidiscuss mtu kavaa nguo gani...next time don't do that...
 
Celebrity forum ulitegemea ukute topic za viwanda ama ni kujitoa ufahamu?
 
Hawa jamaa siku hizi hasa kipindi cha friday night wana promote sana upuuzi.
Wamejirahidi sana kumpromote amber lutu sijui rutu lakini imeshindikana.
Promotion zao za mambo ya kijinga zinawafanya wanaotaka nao kuwa maarufu wazidi kufanya ujunga wakitegemea kuwa wataitwa pale kwenye interview.
Hizo promotion na interview kuna wasanii ma underground wanazihitaji sana lakini hawapewi ila wao wanawapa wapiga picha za utupu na kuzipost insta
 
How can a man bother to discuss such a low and nonsense issue..Watu wengine hatuna kazi kabisa, lets use our brain to think big...nchi haiwezi kuwa na viwanda kama mawazo yetu ni ya kidiscuss mtu kavaa nguo gani...next time don't do that...
Utakua umekosea forum humu Jf kuna hadi majukwaa ya viwanda, nenda maadmin wakuadd
 
Ndio hawa hulaumu Jf imebadlka kumbe wenyewe Ndio wenye shida.
Kabisa mkuu, yani mtu anaingia jukwaa analojua lina topic za namba flani halafu akizikuta anazisoma kwa burudani kabisa then ana comment kuwa ni ujinga.
Sasa kilichofanya aingie kwenye jukwaa lenye huo ujinga afungue topic ya ujinga na ausome huo ujinga ni nini
 
Wananiboa aisee siku hizi...kuna kile kipindi cha 5 select...wanaleta malaya za mjini eti ni ma video queen...shenz kabisa.Kuna kipindi mdada mmoja alitaja username yake ya insta nlioenda kumcheck nlikutana na majanga...Mungu tusaidie
 
Post zao zote siku hizi zinakwenda kishamba,kishabiki hawana lolote..............!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…