EATV na EA radio wamjia juu Diamond , kisa kusema hategemei redio na Tv pekee

EATV na EA radio wamjia juu Diamond , kisa kusema hategemei redio na Tv pekee

Kama hawana mgogoro wa muda mrefu kwa nini walikuwa hawapigi nyimbo zake tangia wewe ukiwa hapo Eatv Earadio? Au huo sio mgogoro. Diamond angekuwa anazuiwa na radio mngeshampoteza zamani na roho mbaya zenu za kiswahili nyinyi watu wa media mkiongozwa na ndugu zako wa east africa wasio na wasikilizaji.
Hivi mkuu hichi ulichoandika unakimaanisha au ni mahaba tu??

Kipindi cha FNL kinarushwa hapo mbona diamond na wasanii wake wanaitwa hapo mara kwa mara?au hicho kipindi hakina uhusiano na EATV?

Unataka kuniambia wewe huwa unakaa na TV na Radio muda wote?
 
Kama skuhizi media hazina nguvu ya kuinua wasanii mbona mnasema joh makini anabebwa Na media?????
Duh kwa ambao tumeona interview ya mond na salama tunaelewa fika kwamba uelewa wenu umeenda opposite na kile alichomaanisha.
Bado tv na radio station zinanguvu dunia kote sio tz tu hawa si ndio wanaolia nyimbo zao zipigwe MTV base urban TV na nyingine nyingine halafu leo wanakunya nyodo kweli masikini akipata matako hulia mbwata
 
Hivi mkuu hichi ulichoandika unakimaanisha au ni mahaba tu??

Kipindi cha FNL kinarushwa hapo mbona diamond na wasanii wake wanaitwa hapo mara kwa mara?au hicho kipindi hakina uhusiano na EATV?

Unataka kuniambia wewe huwa unakaa na TV na Radio muda wote?
Umengalia lini FNL mara ya mwisho? Au umekurupuka?
Nakuhakikishia hawapigi nyimbo za diamond tena mpya ndo kabisa
 
kwenye kipindi cha planet bongo watangazaji wa Dullar na juma junior wametokwa na povu baada kusikia kauli ya diamond aliosema sasa hivi akitoa nyimbo hategemei radio na TV pekee kusambaza mziki wake Bali a natumia mitandao ya kijamii kuhakikisa mziki wake unafika kwa mashabiki kwa ukubwa alionao, tofauti na zamani redio na TV zilikuwa na nguvu kumshusha msanii
Dullar amesema diamond amekosea kutoa kauli hiyo na ametoa boko na angesema hivo kabla hajawa Diamond wakati anatoa mbagala
Huku juma junior akisema diamond ametoa kauli ya kijiweni na ya kijinga.

Ikumbukwe diamond na EA media wamekuwa na mgogoro wa muda mrefu kiasi hawachezi nyimbo za Diamond kwenye vituo vyao.
Ilibuka upya baada ya diamond kugoma kushiriki tuzo za EATV awards ,diomond hakuchukua form za kushiriki.
Huo mgogoro umeanza lini ??

Kuna mmoja alianzisha uzi wenye maudhui kama yako, lakini cha ajabu ndani ya dakika tano tangu yule jamaa aweke humu uzi wake, EA RADIO waka press play wimbo mmoja wa Nassibu.

Ebu uelezee umma wa Jf hilo bifu limeanza lini ?
 
4bffc0ecd3c72ecc7f551ff57af8e0da.jpg
simba
 
Yale yale ya Clouds FM na jaydee.....
Mimi nasema tena labda kama Diamond alinukuliwa vibaya lakini kama alisema basi aliteleza lakini ukweli ni kwamba hadi sasa bado Tv na radio zina nguvu kwenye kupromote sanaa ya wasanii ndio maana kila leo wasanii wetu hufurahi kusikia Video au nyimbo zao zimepigwa kwenye vituo vikubwa kama MTV, Sound city na vinginevyo.
 
Mtoa mada mnafiki sana sijui una ajenda gani maana ktk watu ambao huwa hawadharau media hata iwe ndogo ni diamond week iliyopita alikuwa ea tv kwenye kipindi cha ngazi kwa ngazi na ray vann sasa huo umbea wako sijui unautoa wapi, habari yako ipeleke instagram huko sio hapa maana ni ya kishilawadu eti inasemekana lakini
 
Kama wanaweza si wamshushe, sasa kelele za nini?
 
Mtoa mada mnafiki sana sijui una ajenda gani maana ktk watu ambao huwa hawadharau media hata iwe ndogo ni diamond week iliyopita alikuwa ea tv kwenye kipindi cha ngazi kwa ngazi na ray vann sasa huo umbea wako sijui unautoa wapi, habari yako ipeleke instagram huko sio hapa maana ni ya kishilawadu eti inasemekana lakini
Wewe kweli chenga kwa taarifa yako hiyo kauli diamond ameitoa kwenye kipindi cha ngazi kwa ngazi.
Na kwa taarifa yako kipindi cha ngazi kwa ngazi ni cha AY na Salama pale Eatv wamenunua tu muda wa hewani.
 
Diamond kasema ukwelii now vitu vinabadirikaaa sema wenye Radio zao wanataka wasujujiwee zamani wakati wa mbagala alikuwa hayupo insta wala mitandao ya kijamii haikuwa na nguvu kama sasa ila kiukweli sahizi mitandao ya kijamii ina nguvuuu kulikooooo Radio yoyote hapa nchini

Diamond zahizi ana followers million 3 na malaki kadhaaa lakini hasa atategemea vipi radio tuuuu??? Ifike muda wenye vituo vya radio wakubali ukweli
 
mzee mengi hamjui diamond? wakati alimualika kuperform kwny birthday ya mke wke
Alimualika yeye au alipropose kwao watafute wasanii wa kutumbuiza??

Matajiri hizo kazi huwapaga event planners.. Hawana huo muda wa kujiuliza tutakula nini au tutakunywa nini na nini kifanyike.. Unafikiri maisha ya huko vichochoroni kwenu yanafanana na ya ushuani..
 
Hivi mkuu hichi ulichoandika unakimaanisha au ni mahaba tu??

Kipindi cha FNL kinarushwa hapo mbona diamond na wasanii wake wanaitwa hapo mara kwa mara?au hicho kipindi hakina uhusiano na EATV?

Unataka kuniambia wewe huwa unakaa na TV na Radio muda wote?
Bosi ngoja nikuweke sawa. Kuna kipindi East Africa walikuwa hawapigi kabisa nyimbo za diamond, kuanzia mwaka 2015 kurudi nyuma kidogo kulikuwa na mgogoro mkubwa tu, sasa wakayajenga mwaka 2016 diamond akaanza kuchezwa pale na interviews za kutosha. Kilichowagombanisha ten ni East Africa Awards. Diamond na timu yake walikataa kuchukua forms, jipe kazi ya kufuatilia kama East Africa wanapiga kazi zake utapata jibu. Ndio maana wamejishtukia maybe wamehisi ni dongo lake but hakuna baya aliyosema. Alisema kwa sasa anategemea sana digital platform kusongesha kazi zake zaidi ya media houses. Anyway, alikuwa anatangaza site yake kwa akili ya kawaida ni lazima hata hao wakina dullah wangeangalia mazingira, yaani ulitegemea aseme kuwa media houses ni better than digital platforms wakati ana lounge website ya kusambaza ngoma? Tatizo la waTanzania ni kuchukua mstari mmoja na kuundia mjadala. Wengi wanaingia chaka kwa sababu tu hawajasikia full interview. Na nimejaribu kuangalia youTube bado haijapandishwa.
 
Huu ndo ukweli
 
Back
Top Bottom