Mkuu, unamchukuliaje bwana Mengi??Soon inaweza ikawa DIAMOND vs MENGI akitoka hapa .....is Growin au Ameingia ujinga na YY ? Tusubir muda utujib
Maskini akipata MATAKO ulia mbwataaaaaKujiamin ni jambo jema sana na lenye kuleta maendeleo. Mond anajiamini na ndio maana anafanikiwa. Big up bro
Hivi mkuu hichi ulichoandika unakimaanisha au ni mahaba tu??Kama hawana mgogoro wa muda mrefu kwa nini walikuwa hawapigi nyimbo zake tangia wewe ukiwa hapo Eatv Earadio? Au huo sio mgogoro. Diamond angekuwa anazuiwa na radio mngeshampoteza zamani na roho mbaya zenu za kiswahili nyinyi watu wa media mkiongozwa na ndugu zako wa east africa wasio na wasikilizaji.
Sure coz hata hvo alijibu kulingana na swali la salama....hawa akina dula watakuwa na yaoDullar na mwenzake wamekurupuka dimond hakuongea hvo, ila kwa akili yao ndogo wamechukua statement ya mwisho kum judge
Duh kwa ambao tumeona interview ya mond na salama tunaelewa fika kwamba uelewa wenu umeenda opposite na kile alichomaanisha.Kama skuhizi media hazina nguvu ya kuinua wasanii mbona mnasema joh makini anabebwa Na media?????
Bado tv na radio station zinanguvu dunia kote sio tz tu hawa si ndio wanaolia nyimbo zao zipigwe MTV base urban TV na nyingine nyingine halafu leo wanakunya nyodo kweli masikini akipata matako hulia mbwata
Umengalia lini FNL mara ya mwisho? Au umekurupuka?Hivi mkuu hichi ulichoandika unakimaanisha au ni mahaba tu??
Kipindi cha FNL kinarushwa hapo mbona diamond na wasanii wake wanaitwa hapo mara kwa mara?au hicho kipindi hakina uhusiano na EATV?
Unataka kuniambia wewe huwa unakaa na TV na Radio muda wote?
Huo mgogoro umeanza lini ??kwenye kipindi cha planet bongo watangazaji wa Dullar na juma junior wametokwa na povu baada kusikia kauli ya diamond aliosema sasa hivi akitoa nyimbo hategemei radio na TV pekee kusambaza mziki wake Bali a natumia mitandao ya kijamii kuhakikisa mziki wake unafika kwa mashabiki kwa ukubwa alionao, tofauti na zamani redio na TV zilikuwa na nguvu kumshusha msanii
Dullar amesema diamond amekosea kutoa kauli hiyo na ametoa boko na angesema hivo kabla hajawa Diamond wakati anatoa mbagala
Huku juma junior akisema diamond ametoa kauli ya kijiweni na ya kijinga.
Ikumbukwe diamond na EA media wamekuwa na mgogoro wa muda mrefu kiasi hawachezi nyimbo za Diamond kwenye vituo vyao.
Ilibuka upya baada ya diamond kugoma kushiriki tuzo za EATV awards ,diomond hakuchukua form za kushiriki.
Wewe kweli chenga kwa taarifa yako hiyo kauli diamond ameitoa kwenye kipindi cha ngazi kwa ngazi.Mtoa mada mnafiki sana sijui una ajenda gani maana ktk watu ambao huwa hawadharau media hata iwe ndogo ni diamond week iliyopita alikuwa ea tv kwenye kipindi cha ngazi kwa ngazi na ray vann sasa huo umbea wako sijui unautoa wapi, habari yako ipeleke instagram huko sio hapa maana ni ya kishilawadu eti inasemekana lakini
mzee mengi hamjui diamond? wakati alimualika kuperform kwny birthday ya mke wkeUsifikiri Mzee Mengi anafanana na hao wapuuzi kama Ruge na Majay sijui.. Na usikute hata huyo Diamond mwenyewe hamjui..
Alimualika yeye au alipropose kwao watafute wasanii wa kutumbuiza??mzee mengi hamjui diamond? wakati alimualika kuperform kwny birthday ya mke wke
Bosi ngoja nikuweke sawa. Kuna kipindi East Africa walikuwa hawapigi kabisa nyimbo za diamond, kuanzia mwaka 2015 kurudi nyuma kidogo kulikuwa na mgogoro mkubwa tu, sasa wakayajenga mwaka 2016 diamond akaanza kuchezwa pale na interviews za kutosha. Kilichowagombanisha ten ni East Africa Awards. Diamond na timu yake walikataa kuchukua forms, jipe kazi ya kufuatilia kama East Africa wanapiga kazi zake utapata jibu. Ndio maana wamejishtukia maybe wamehisi ni dongo lake but hakuna baya aliyosema. Alisema kwa sasa anategemea sana digital platform kusongesha kazi zake zaidi ya media houses. Anyway, alikuwa anatangaza site yake kwa akili ya kawaida ni lazima hata hao wakina dullah wangeangalia mazingira, yaani ulitegemea aseme kuwa media houses ni better than digital platforms wakati ana lounge website ya kusambaza ngoma? Tatizo la waTanzania ni kuchukua mstari mmoja na kuundia mjadala. Wengi wanaingia chaka kwa sababu tu hawajasikia full interview. Na nimejaribu kuangalia youTube bado haijapandishwa.Hivi mkuu hichi ulichoandika unakimaanisha au ni mahaba tu??
Kipindi cha FNL kinarushwa hapo mbona diamond na wasanii wake wanaitwa hapo mara kwa mara?au hicho kipindi hakina uhusiano na EATV?
Unataka kuniambia wewe huwa unakaa na TV na Radio muda wote?
Huu ndo ukweliBosi ngoja nikuweke sawa. Kuna kipindi East Africa walikuwa hawapigi kabisa nyimbo za diamond, kuanzia mwaka 2015 kurudi nyuma kidogo kulikuwa na mgogoro mkubwa tu, sasa wakayajenga mwaka 2016 diamond akaanza kuchezwa pale na interviews za kutosha. Kilichowagombanisha ten ni East Africa Awards. Diamond na timu yake walikataa kuchukua forms, jipe kazi ya kufuatilia kama East Africa wanapiga kazi zake utapata jibu. Ndio maana wamejishtukia maybe wamehisi ni dongo lake but hakuna baya aliyosema. Alisema kwa sasa anategemea sana digital platform kusongesha kazi zake zaidi ya media houses. Anyway, alikuwa anatangaza site yake kwa akili ya kawaida ni lazima hata hao wakina dullah wangeangalia mazingira, yaani ulitegemea aseme kuwa media houses ni better than digital platforms wakati ana lounge website ya kusambaza ngoma? Tatizo la waTanzania ni kuchukua mstari mmoja na kuundia mjadala. Wengi wanaingia chaka kwa sababu tu hawajasikia full interview. Na nimejaribu kuangalia youTube bado haijapandishwa.