Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Kwa kiwango cha waandishi wa Tanzania wamejitahidi Sana.Kupitia ukurasa wao wa X zamani Twitter, East Africa TV wametuarifu kuwa wakandaji wa Yanga (Mamelodi Sundowns) watawasili nchini Machi 28 kwaajili ya mchezo wao wa kwanza wa robo fainali ya ligi ya mabingwa Afrika.
Mhariri wa EATV ameshawapa nafasi na kuwasapoti Mamelodi kwanini mimi nizuiwe kuvaa jezi zao?
Tutaelewana tu jamani[emoji1787][emoji1787]
View attachment 2940780
Yanga tuko vyedi lo ๐๐๐๐๐ช๐ช๐ถ
Mpaka msemeMedia kuonesha ushabiki ni uduwanzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na wakandwe tu