Ebitoke alizwa na Ben Pol

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Mchekeshaji maarufu bongo Ebitoke alizwa na kitendo cha anayedaiwa kuwa mpenzi wake Ben Pol kutopokea simu wala kujibu meseji zake, na kuomba msaada kwa watu kumuuliza msanii huyo kwa nini anafanya hivyo, licha ya kuwa na mipango mingi ya baadae.
Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Ebitoke amesema kitendo hicho kinamuweka njia panda, hivyo anashindwa kujua kama anampenda kweli au alikuwa anachezea moyo wake.

Msikilize hapa chini Ebitoke akifunguka zaidi juu ya jambo hilo.


 
Kiki ya bashite hiyo...!!
 
Huyo dada kila kitu analetaga mitandaoni.. Anasema hadi issue nyingine hazitakiw kua addressed mitandaoni..
 
Ndo aje kutangaza redioni!!!!!! Si amfate akamuulize ... Kiki nyengine hizi bhana nmeongeza views bure2 kwenye clip hyo aah
 
Mi mwenyewe niko kwenye mtafaruku mkubwa na Mama Gaude wangu anataka RAV 4 na milioni 5 kwa mwezi, nimemwambia aende WASAFI, asinione mimi lofa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…