Ebitoke alizwa na Ben Pol

Ebitoke alizwa na Ben Pol

Hapokei simu? Kama wapenzi kweli si amsubiri home amchane
 
watu kama,walishakula tunda mama hawarudi nyuma
 
Haka ka kiwanda tulianza kukasahau...
 
Mbona Ben Pol ajatupa mrejesho kama ni kweli huyo Muhaya alikuwa Bikra?!
 
walitamaniana kwa mafuta tu, sasa siku hizi ben paul hapaki tena mafuta ndo maana anamkwepa ebitoke
 
Ben Pol kabuma, Ebitoke nae ni hivyohivyo....!!

Nani wa kumbusti mwenzie...
 
Back
Top Bottom