Ebitoke na Ben Pol Dhahiri Shahiri..mambo yametiki...

Hizi ni kick kick tu.hamna lolote.Ngoja tuwape mda tuone mwisho wa hii saga
 
Ebitoke Mungu anakuona ujue!!! Hivi kwanini unataka kumnyima usingizi mtoto wa Kimakonde Harmorapa?!
 
Ebitoke Mungu anakuona ujue!!! Hivi kwanini unataka kumnyima usingizi mtoto wa Kimakonde Harmorapa?!
Hahhahaaahaa......

Hamorapa atamuendea kwa mganga ....

!!!!
 
Kumbe Ebitoke kama hajafanya make up zake za ajabu yuko vzr mtoto anag'aaa hata mm ningepita naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…