Ebitoke na Ben Pol Dhahiri Shahiri..mambo yametiki...

Ebitoke na Ben Pol Dhahiri Shahiri..mambo yametiki...

Mzee wa mawese ametafuta kiki kwa Chura sasa amehamia kwa Ebi... kazi kweli kweli ngoja tuone anachokitafuta....!!
 
Huyo Ebitoke nyege tu alizotoka nazo bush zinamsumbua, ngoja apate wa kumsugua vizuri ataacha hadi kuchekesha huyo.
 
Mziki ni sanaa. Maigizo ni sanaa na wote ni wanasanaa. Huenda wapo katika sanaa na si uhalisia. Na kama ni kweli basi Kila la kheri kwao
 
Katika hizo picha Ebitoke ndio yupi?
 
Back
Top Bottom