Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Si washajua watanzania wengi ni mazezeta halafu wepesi wa kusahau,hata mkulu na mwanaenao wanatembelea mulemule kuchezea akili za mazezeta.Watu wanachezea akili za watu na kuna watu wanawaamini
Nini mkuuAnamwagiwa
Khaa mkuu mbona una makusudiKatika hizo picha Ebitoke ndio yupi?
Acha matusi, changia hoja.doh ili ligogo linanikera sana kuimba limeacha limebaki kufanya ubashite tuu
Wanatafuta kiki kwa pikipiki....Hizi ni kick kick tu.hamna lolote.Ngoja tuwape mda tuone mwisho wa hii saga
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] subiri wakujibuKatika hizo picha Ebitoke ndio yupi?
Ndiyo msaga sumuHuyo ebitoke ndio Nani?
OkayNdiyo msaga sumu
Yeah man! They were made for each other. Kitasa kimepata ufunguo wake.Nampa sana hongera Bitoke kwa kueleza hisia zake bila kujivunga. Wadada, igeni mfano wa Bitoke, msife na lipstick mdomoni na wanja machoni!Aren't they lovely.. !!!??
Nisaidie maneno mkuu[emoji85][emoji85]haya anza sasa
Mambo ya Joti na tangazo la tigo....Mim nahis ni ★kiki★ tu