Ebola imefika duuh

Inaweza ikawa hawa wazungu wanatuchezea kamchezo fulani iv, ili kuharibu uchumi wetu
 
Duuuuuu Tunaokaa mbagara Imekaaje hii kweny mbanano [emoji102][emoji102]
 
Inaweza ikawa hawa wazungu wanatuchezea kamchezo fulani iv, ili kuharibu uchumi wetu
Uchumi gani huo wa maana labda???? Huu wa mikopo kila kona mpaka ndege zinashikwa kisa madeni[emoji33][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uchumi gani huo wa maana labda???? Huu wa mikopo kila kona mpaka ndege zinashikwa kisa madeni[emoji33][emoji23][emoji23][emoji23]
sawa bro kwa upande wangu bora hapa tulipo kuliko tulipotoka kwa JK, saiv kila nchi Africa iantutamani, hakuna nchi amabyo haina madeni exclude N.korea, america yenye uchum mkubwa inadaiwa na china sembuse third world country like Tanzania, tunapiga hatua, watu wano dis utawala huu wengi wao enzi za JK walikuwa wanakona nyingi, tatizo watu wengi TZ wana ugonjwa wa kusahau, wanasahau ambovu twiga wetu walikuwa wanatoloshwa na wanyama weingine hakuna aliyekuwa achua hatua, ndo kwanza JK utamwona dubai nachagua gari mpya, elimu na afya ilikuwa mbovu, kulikwa hakuna uwajibikaji kwenye taasisi yoyote ya selikali rushwa, you do not have money, no service. watu wachini kabisa walikuwa wanaumia sana sana, enzi hizo masikin tulikuwa hatuna matumani, ndio saivi hakuna pesa mtaani, ila ukitaka kuwa mfanya biashara unaweza mfano machiga saiv free kabisa, enzi za JK nilikuwa mbeya enzi izo kila kutwao maandamano na wafanya biashara kisa wanawalazima kufanya vitu kwaajili ya masilai ya wachache, walikuwa wanawalazimisha kuondoka SIDO, nimeenda juzi saivi kunapendeza sana sana. haya nimachache ila naweza kusema mengi.

NOTE; sijawai kuwa ccm na mtu anaeva kijani cha ccm nakeleka moyoni, ila mjomba Magu anatupeleka sehem nzr, Magu ni best x 1000 {mara elfu} ya JK
 
Mabaharia msiwe na wasi wasi, ebola haipo Tanzania, wizara ya afya imetoa ufafanuzi leo.

Tahadhali muhimu.
 
Hili gazeti lote umemjibu rikiboy?
 
Hili gazeti lote umemjibu rikiboy?
Ndio, tatizo tunasaha, enzi za JK tulilalamika sana hapa JF, pitia thread 2009 hadi 2016 utaona tofauti kubwa sana, wakosoaji wengi sasa hapa JF wanawalaumu kwa sababu ya watu wasio julikana, america kwenyewe watu wanauwa kila kukicha sembuse africa,saiv sisi wapinzani wengi wetu wanaangalia matumbo yao kuliko maendeleo ya taifa kwa umjumla
 
Serikali ya Tanzania imefutilia mbali uvumi kwamba kuna visa vya ugonjwa wa Ebola nchini humo.

Waziri wa afya nchini humo bi Ummy Mwalimu aliambia mkutano na wanahabari mapema leo kwamba hakuna kisa hata kimoja cha ebola katika taifa hilo

Alisema kwamba taifa hilo limejiandaa kukabiliana na mlipuko wowote wa ugonjwa na tayari limefanya majarabio ili kujua jinsi ilivyojiandaa huku ikiweka tayari vituo vya kuwatenga waathiriwa.

Waziri huyo pia alionya kwamba wale ambao wataendelea kusambaza uvumi huo wa uwongo kuhusu kisa hicho watachukuliwa hatua kali za kisheria kupitia sheria ya uhalifu wa mtandaoni.
 
Wametumia neno “kuhisiwa kuwa Ebola”. Hawajajicommit hapa japo hii maana yake ni kwamba chances are very high Ebola inahisiwa kuwa imeshatinga ndani ya nyumba

Sawa mkuu hii ni habari mbaya sana, vipi Baba Kaegan anasemaje kuhusu hizi habari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…