Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,120
Ummy Mwalimu kasema hakuna Ebola
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa bro kwa upande wangu bora hapa tulipo kuliko tulipotoka kwa JK, saiv kila nchi Africa iantutamani, hakuna nchi amabyo haina madeni exclude N.korea, america yenye uchum mkubwa inadaiwa na china sembuse third world country like Tanzania, tunapiga hatua, watu wano dis utawala huu wengi wao enzi za JK walikuwa wanakona nyingi, tatizo watu wengi TZ wana ugonjwa wa kusahau, wanasahau ambovu twiga wetu walikuwa wanatoloshwa na wanyama weingine hakuna aliyekuwa achua hatua, ndo kwanza JK utamwona dubai nachagua gari mpya, elimu na afya ilikuwa mbovu, kulikwa hakuna uwajibikaji kwenye taasisi yoyote ya selikali rushwa, you do not have money, no service. watu wachini kabisa walikuwa wanaumia sana sana, enzi hizo masikin tulikuwa hatuna matumani, ndio saivi hakuna pesa mtaani, ila ukitaka kuwa mfanya biashara unaweza mfano machiga saiv free kabisa, enzi za JK nilikuwa mbeya enzi izo kila kutwao maandamano na wafanya biashara kisa wanawalazima kufanya vitu kwaajili ya masilai ya wachache, walikuwa wanawalazimisha kuondoka SIDO, nimeenda juzi saivi kunapendeza sana sana. haya nimachache ila naweza kusema mengi.Uchumi gani huo wa maana labda???? Huu wa mikopo kila kona mpaka ndege zinashikwa kisa madeni[emoji33][emoji23][emoji23][emoji23]
Wametumia neno “kuhisiwa kuwa Ebola”. Hawajajicommit hapa japo hii maana yake ni kwamba chances are very high Ebola inahisiwa kuwa imeshatinga ndani ya nyumbaHawa bado hawajaambiwa waache kiherehere?
sawa bro kwa upande wangu bora hapa tulipo kuliko tulipotoka kwa JK, saiv kila nchi Africa iantutamani, hakuna nchi amabyo haina madeni exclude N.korea, america yenye uchum mkubwa inadaiwa na china sembuse third world country like Tanzania, tunapiga hatua, watu wano dis utawala huu wengi wao enzi za JK walikuwa wanakona nyingi, tatizo watu wengi TZ wana ugonjwa wa kusahau, wanasahau ambovu twiga wetu walikuwa wanatoloshwa na wanyama weingine hakuna aliyekuwa achua hatua, ndo kwanza JK utamwona dubai nachagua gari mpya, elimu na afya ilikuwa mbovu, kulikwa hakuna uwajibikaji kwenye taasisi yoyote ya selikali rushwa, you do not have money, no service. watu wachini kabisa walikuwa wanaumia sana sana, enzi hizo masikin tulikuwa hatuna matumani, ndio saivi hakuna pesa mtaani, ila ukitaka kuwa mfanya biashara unaweza mfano machiga saiv free kabisa, enzi za JK nilikuwa mbeya enzi izo kila kutwao maandanya biashara kisa
Ndio, tatizo tunasaha, enzi za JK tulilalamika sana hapa JF, pitia thread 2009 hadi 2016 utaona tofauti kubwa sana, wakosoaji wengi sasa hapa JF wanawalaumu kwa sababu ya watu wasio julikana, america kwenyewe watu wanauwa kila kukicha sembuse africa,saiv sisi wapinzani wengi wetu wanaangalia matumbo yao kuliko maendeleo ya taifa kwa umjumlaHili gazeti lote umemjibu rikiboy?
Wametumia neno “kuhisiwa kuwa Ebola”. Hawajajicommit hapa japo hii maana yake ni kwamba chances are very high Ebola inahisiwa kuwa imeshatinga ndani ya nyumba
Relax Ain't no white walkers here, Infact I hope Arya tells them NOT TODAY.Yani Nimehisi kama White walkers wamefika kwenye Wall in GOT[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]