Hatari sana ukizingatia mpaka wetu na Tz ni mrefu sana na wapo watu wa pande zote mbili huingiliana bila kupitia taratibu zozote.
Sasa hao WHO kama walikuwa wanamfuatilia huyo dada mwenye ebola kwa nini hawakumzuia hadi aingie bongo!!! Hao nao wana agenda binafsi,serikali ya tz iwe macho na hawa waseng tukiendelea kuwachekea watatuletea majanga siku moja
Hakuna ebola bongo na kama ipo basi imeletwa na haohao WHO
Acha kuleta porojo hapa,sasa wanafanya nini!!Sio majukumu ya WHO kuzuia au kuruhusu msafiri yeyote, wao wakishuku unalo tatizo fulani wanaanza kufuatilia taarifa za ulikotoka, kwa mujibu wa hiyo picha utaona huyo mwanamke kapitia pitia vituo vya afya, hivyo ni kazi rahisi kupata taarifa hizo.
Serikali ndio ziwe makini.
Pale mpakani Namanga pande zote mbili walikua wameanza zoezi la kuhakikisha unasimama kwenye alama fulani kisha unaangaza macho kuelekeza kwenye kidubwasha fulani, kisha ndio unaruhusiwa kupita, ila siku hizi watu wanapita tu, wao wanakagua kadi ya homa ya njano basi.
Hapa panahitaji ushirikiano wa hali ya juu baina ya haya mataifa, Mtanzania akiathirika ifahamike hata sisi Wakenya hatutakua salama na pia vivyo hivyo inaweza ikaanzia huku Kenya kuja huko.
Acha kuleta porojo hapa,sasa wanafanya nini!!
Yaani waafrika tumeambukizwa porojo porojo tumekuwa kama mazezeta
Hao ndo wanatuletea magonjwa ya ajabu ajabu huku africa ,halafu tunawatetea sisi waafrika siku tukija kupata akili hawa wasenge washatuumiza sana..hao ndo wanaotuletea magonjwa ya ajabu ajabu huku afrika,wanatutumia kwenye majaribio yao halafu sisi tunajifanya tunawajua sana,eti kusafiri nje ya tanzania,mambo madogo kama haya kuyajua si lazima uwe umeenda ulaya au americaWewe ndiye unaonyesha dalili za uzezeta, kama umewahi kubahatika kutoka nje ya Tanzania, lini uliona afisa wa WHO mpakani au kwenye uwanja wa ndege akitia stamp kwenye hati yako ya usafiri, utakua na kasoro ya kiaina kulaumu WHO kwa hili.
Hao ndo wanatuletea magonjwa ya ajabu ajabu huku africa ,halafu tunawatetea sisi waafrika siku tukija kupata akili hawa wasenge washatuumiza sana..hao ndo wanaotuletea magonjwa ya ajabu ajabu huku afrika,wanatutumia kwenye majaribio yao halafu sisi tunajifanya tunawajua sana,eti kusafiri nje ya tanzania,mambo madogo kama haya kuyajua si lazima uwe umeenda ulaya au america
Kwanza tuelewe kuwa hili ni suala la kitaalamu, sio suala la hisia tu. Na pia ni suala la usalama wa nchi. Kutangaza nchi ina ebola unafikiri ni kiasi gani kutakuwa na taharuki, unajua ni kiasi gani itaathiri shughuli za kibadamu na kiuchumi? Muhimu ni kuchukua tahadhari maana kuna watu wengi wanasafiri kuingia na kutoka Congo kuja huku Africa Mashariki mtu yeyote anaweza kuwa ameubeba huo ugonjwa.
So muelewe kuwa serikali kuwa kimya sio kwa kutukomoa, inachukua tahadhari zote na kujihakikishia kuwa kama ni salama kusema huo ugonjwaa upo au la.
Hawa manyang'au ni mazezeta haswa.Acha kuleta porojo hapa,sasa wanafanya nini!!
Yaani waafrika tumeambukizwa porojo porojo tumekuwa kama mazezeta