komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
- Thread starter
- #21
WHO wao wlaichunguza tu huyo mdada km kapitia wapi na wapi mpka kufikia bongo..jiuluze walijuaje km alifika tanzania...ripoti zote za ma hospitali wako nazo hao jamaa...sasa usilete siasa katika hili jambo
Sasa hao WHO kama walikuwa wanamfuatilia huyo dada mwenye ebola kwa nini hawakumzuia hadi aingie bongo!!! Hao nao wana agenda binafsi,serikali ya tz iwe macho na hawa waseng tukiendelea kuwachekea watatuletea majanga siku moja
Hakuna ebola bongo na kama ipo basi imeletwa na haohao WHO