Hivi nyie 'nyuma mwiko' hamkui Tu! Mnatushangaza Sana, mmekuwa wa ku-copy and paste. Kila 'Nguvu moja' ikianzisha Jambo, basi Nyuma mwiko' lazima waige.
Kwa nini mnapenda Kula makombo! Tumemwacha Okrah nyie mkambeba, Baleke, Mkude na Chama mkamtolea udenda.
Haijaisha, tumekwenda South Africa kumleta Fadlu nanyi bila soni mkatufuata huko huko!
Haya sasa Sandaland anataka kumshtaki Ally Kamwe, na mlivyo Kama Yule jamaa alivyowasema kuwa huko wenye akili NI wawili
Tu, bahati mbaya kweli hamnazo mnashindwa kuelewa kuwa Sandaland ni business name na sio Simba Sports Club, sasa mnakurupuka kumshtaki Semaji letu Ahmed Ally.
Tahadhari Msiige tembo kunya mtapasuka msamba! Mtamlipa fidia Ahmed Ally, tusubiri tuone!
Bwege wenu kayatimba Kwa Sanda sio Simba!
Sisi hatuigi yenu, mfano mmeanzisha kunywa supu ya vibudu, mmeona Nani kawaiga?