Eboo! Tumechoka Sasa kila kitu kuigwa tu! Na nyie muwe mnaanzisha vya kwenu na muone Kama sisi tutaiga!

Eboo! Tumechoka Sasa kila kitu kuigwa tu! Na nyie muwe mnaanzisha vya kwenu na muone Kama sisi tutaiga!

Tu, bahati mbaya kweli hamnazo mnashindwa kuelewa kuwa Sandaland ni business name na sio Simba Sports Club, sasa mnakurupuka kumshtaki Semaji letu Ahmed Ally
 
Back
Top Bottom