maranduhussein
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 275
- 140
Haha sasa mkeo huko peponi atakuwa moja ya wale bikra alioahidi allah tabarka
Tatizo lako ni ushabiki ulioshindiliwa na kuoshwa akili yako ambayo imekubali kila inacholishwa.Laiti ungetulia na kufikiri kidogo ungeelewa.SOMA NDUGU YANGU ACHA USHENZI WAKO.Siku moja mdomo wako unaocheka sasa utafungwa na huyo Allah Tabaraka(au ni Yesu nini?),mikono yako itakosa nguvu za kuandika ushenzi huu na mwisho mwili huu unaojivunia utaoza na kunuka.Hapo ndipo utajua hujui.Bado una nafasiHaha sasa mkeo huko peponi atakuwa moja ya wale bikra alioahidi allah tabarka