Ebu andika kisa ambacho utakaa ukisahau maisha yako yote / moments nzuri ambayo huwezi kuisahau maisha yako yote

Kupandishwa kwa gharama/tozo za kutuma pesa kwa njia ya mitandao ya simu, halafu baada ya kupitishwa kwa sheria hio ndio wabunge wa CCM wameanza kujilizaliza mitaani zipunguzwe.

Kama vile wao hawakuzipigia tozo hizo kura ya ndio.
 
Nipale walipomuhisi ndugu yangu wa kike ni Mwarabu.

Ilikua hivi alianzisha mahusiano na jamaa hatimae mimba basi yule jamaa akataka kumuoa na taarifa alizopeleka kwao nikwamba anaoa mpemba basi Kama ilivyoada walienda kuroga ili kukwepa ubaguzi.

Kutoka kwa waarabu Kumbe mwenzangu na mimi ni mpare mmoja hivi asiyekuwa na mbele Wala nyuma, kiufupi yule jamaa alivyojua mwenzangu na mie siyo mpemba aliingia chaka huku mwenzangu na mie akiwa kambebea na mimba.

Aisee kupitia tukio lile nilijifunza kitu, yaani usione mtu kaowa mwarabu ukazani mwarabu kampenda kweli hapana niuchawi unatumika, kiasili waarabu hawataki kabisa kuchanganya damu na watu weusi wanaamini wanakaribisha laana kwenye ukoo wao yaani hiyo ni asili yao waarabu kuwa wabaguzi.

Ila jamaa walivyotupumbaza light dogo angekuwa Mwarabu walikuwa wanachuku goma bila zengwe.
 
Siku nilivyo mtumia nauli demu afu hakutokea na Hotel nimelipia daah!
 
Siku nilipokutana kwa mara ya 3 na mtoto wa wenyewe na alivyoniambia kiasi gani alinitafuta kwa miezi 6 bila mafanikio (Nikisema nampenda naona kama haitoshi ila aishi miaka mingi na kila kizuri kiwe juu yake na awe na furaha milele)

Moment nyingine imetokea jana tu. Jana tulienda kutembea kisiwa kimoja huku Zanzibar na rafiki zangu. Nyakati zingekua zinajirudia ningetamani siku yote ya jana ijirudie.Nadhani kama kweli wanavyosema ukicheka unaongeza siku za kuishi basi kwa jana pekee nimejiongezea miaka 10.
 
Niliyotendewa kule Arabuni,....sitakuja kuwaamini waarabu hata nikutane nao bombani.
 
Nipale walipomuhisi ndugu yangu wa kike ni Mwarabu.

Ilikua hivi alianzisha mahusiano na jamaa hatimae mimba basi yule jamaa akataka kumuoa na taarifa alizopeleka kwao nikwamba anaoa mpemba basi Kama ilivyoada walienda kuroga ili kukwepa ubaguzi.

Kutoka kwa waarabu Kumbe mwenzangu na mimi ni mpare mmoja hivi asiyekuwa na mbele Wala nyuma, kiufupi yule jamaa alivyojua mwenzangu na mie siyo mpemba aliingia chaka huku mwenzangu na mie akiwa kambebea na mimba.

Aisee kupitia tukio lile nilijifunza kitu, yaani usione mtu kaowa mwarabu ukazani mwarabu kampenda kweli hapana niuchawi unatumika, kiasili waarabu hawataki kabisa kuchanganya damu na watu weusi wanaamini wanakaribisha laana kwenye ukoo wao yaani hiyo ni asili yao waarabu kuwa wabaguzi.

Ila jamaa walivyotupumbaza light dogo angekuwa Mwarabu walikuwa wanachuku goma bila zengwe.

[emoji28][emoji28]Mwafrika noma sana, kumbe kuna njia ya kupambana na racism na mmekaa kimya hamsemi!
 
Nipale walipomuhisi ndugu yangu wa kike ni Mwarabu.

Ilikua hivi alianzisha mahusiano na jamaa hatimae mimba basi yule jamaa akataka kumuoa na taarifa alizopeleka kwao nikwamba anaoa mpemba basi Kama ilivyoada walienda kuroga ili kukwepa ubaguzi.

Kutoka kwa waarabu Kumbe mwenzangu na mimi ni mpare mmoja hivi asiyekuwa na mbele Wala nyuma, kiufupi yule jamaa alivyojua mwenzangu na mie siyo mpemba aliingia chaka huku mwenzangu na mie akiwa kambebea na mimba.

Aisee kupitia tukio lile nilijifunza kitu, yaani usione mtu kaowa mwarabu ukazani mwarabu kampenda kweli hapana niuchawi unatumika, kiasili waarabu hawataki kabisa kuchanganya damu na watu weusi wanaamini wanakaribisha laana kwenye ukoo wao yaani hiyo ni asili yao waarabu kuwa wabaguzi.

Ila jamaa walivyotupumbaza light dogo angekuwa Mwarabu walikuwa wanachuku goma bila zengwe.
Si kweli.. ...

Tembea uone hata mtu mweusi mbaguzi...
 
Back
Top Bottom