Ebu fikiria hizo kelele Zingezo pigwa kama Huyo Muafrika Angeanza chini kwenye picha

Ingoko

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2022
Posts
4,081
Reaction score
6,367
1752392931744.jpg
Na bado tungepiga kelele kwanini wamuwe kichwani mdomoni na wanajua kabisa huyo ni Mamba🤣😁
 
Ukiangalia kwa jicho la tatu, hapo hakuna favor yoyote kwa muafrika ila huo ni mtego...
Wazungu wameamua kumbeba mabegani muafrika ili wakae sehemu salama(mkiani na tumbon kwa mamba) na muafrika ndo yuko sehemu hatari(mdomoni mwa mamba) kiasi kwamba mamba akicharuka, muafrika ataanza kutafunwa..

The universe is flat [emoji1]
 
Back
Top Bottom