herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,967
- 3,212
hahahaaa apo inaendelea tafuta bible utaielewa vzuriNani mwenye dhambi? Deals nyingi zenye hela ni za watu wanaoonekana wana dhambi walevi na wazinzi
hii imekaa vzur sana1Wakorintho 13:4-7
4 Upendo huvumilia, upendo hufadhili; upendo hauna wivu au majivuno.
5 Upendo hauna kiburi na haukosi kuwa na adabu. Upendo hau tafuti kujipendeza nafsi; haukasiriki upesi, hauweki orodha ya mabaya. 6 Upendo haufurahii mabaya, bali hufurahia kweli. 7 Upendo huvumilia yote, huamini yote, hutumaini yote, hustahimili yote.
Shukrani..Neno zuri.1Wakorintho 13:4-7
4 Upendo huvumilia, upendo hufadhili; upendo hauna wivu au majivuno.
5 Upendo hauna kiburi na haukosi kuwa na adabu. Upendo hau tafuti kujipendeza nafsi; haukasiriki upesi, hauweki orodha ya mabaya. 6 Upendo haufurahii mabaya, bali hufurahia kweli. 7 Upendo huvumilia yote, huamini yote, hutumaini yote, hustahimili yote.
n kweliWagalatia 5:17 Kwa sababu mwili hutamani ukishindana na Roho, na Roho kushindana na mwili; kwa maana hizi zimepingana, hata hamwezi kufanya mnayotaka.