Ebu niambie unapoona hii kitu unamkumbuka nani katika mahusiano

Mie first love wakunifanya nimkumbuke endapo ataniacha nilkuwa ndo nimemaliza chuo maana pindi ya nyuma nilikuwa sina mahusiano mpaka wakawa wananishangaa wana...ivo mie iyo kengele namkumbuka tu timekeeper,monitor na viwanja wengine walivokuwa wanavimba kama kwamba shule ilikuwa ya babayao da.
Pia kilikuwa na mwalim wa kike alinipiga teke nikiwa dara la 2 kisa ninakigugumizi da
 
Eti ooooooh! mimi nilisoma mpaka mahusiano nikawa nayaogopa.Wewe ulisoma kweli au unatania na kama ulisoma kweli niambie unaijua hii?

View attachment 205124

au unataka kuniambi wewe ni msomi ambaye uliikwepa hii

View attachment 205125
Wewe unasema iyo ndo uthibitisho uku kilikuwa na hadithi ya mzee anko.
Tena nilikuwa napenda shauri moja ivi ''nikimaliza kusoma nitafanyakazigani?''.
Ww acha kabisa sikuwahi kuwa na mahusiano maana nilijua ni dhambi kwani nililelewa na kupewa semina mbalimbali na nikaambiwa dawa ya hayo mambo ni kuwa muoga yaani kuiogopa dhambi na kuishinda dhambi.Acha kabisa ungekuwa wa kike ningesema niliishi na bikra mpaka miaka 24.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…