juan moses
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 2,403
- 2,478
Umenikumbusha Sharifa.alikua dem ametuzid umri so akapewa ukiranja shule nzima tunamgwaya.alikua anapga wavulana kma hana akili nzuri.ila alpomalza la7 katiwa mimba na ss ana watt wa4.anauza vitumbua hapa barabaran nkipta namuona aiseeeee!!