Hossam
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 3,544
- 2,169
Mie kuna sister mmoja nikiwa lasaba pale Tabora nilikuwa nampenda sana kumwambia nashindwa, siku moja nikamwambia mshkaji wangu kwamba nimemuota yule dem si akamwambia! Dah niliepuka skuli wiki zima siku niliporejea nikamfata yule dem nikamwambia aniazime daftari la sayansi kilimo kumbe nilikuwa napima kina cha maji!