Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikiwa la tano kuna dada nilimpenda sana, nilikuwa siondoki kwenda shule hadi nimuone anapita ndo nafuata nyuma. Sikuwahi kufanya nae matusi, ila kwakweli namfeel.
Popote ulipo Juliana, pokea busu hili mwaaaaaa
Mm nikiwa la sita demu aliniomba urafiki nikatii sasa issue ilikuwa ananilazimisha nika
Hahaha..mkuu, umenikumbusha mbali sana na hilo neno "kufanya matusi".
hahahahaha kweli umetukumbusha wengi mbali na hilo neno....Mwanafunzi akiongelea kuhusu mambo ya mapenzi tulikuwa tunasema ANAONGEA MATUSI.....tunamuona waajabuuu....Hasa wanafunzi wanaotoka Dar tuliwaona wanaongea matusii
Primary..... Long taimu
Lilikua limening'inizwa kwenye tawi la mti
asikuambie mtu bhana primary raha bhana
Dah Mkuu umenikumbusha mbali kweli yani. kuna bibie mmoja nilitokea kumpenda huwezi kuamini nilikuwa ndo kwanza darasa la pili,...yaan hadi naua class 7 tulikuwa mabest ile mbaya! Tukaja poteza nae, nimekuja kukuta nae juzijuzi(now we are more than 22) amekuwa amebadilika na hana msisimko tena na mimi.
Inaniumiza sana hii kitu.
Anyway wherever you are I'll not stop to love you TRS L.
mmh haya mapenzi haya
View attachment 204940
Najua utakataa lakini ulipo kuwa shule ya msingi kuna mtu alikuwa anakuumiza nafsi na hatimaye ukatengana naye mara baada ya kumaliza. Sasa basi napenda upate fursa ya kuieleza jamii nini unakumbuka unapoiona hiyo kitu hapo juu katika hadithi yako ya mahusiano. Maana wengi wetu tumeanza kubarehe tukiwa shule za msingi na kama unavyo jua mihemko pindi tunapo barehe.
mmh haya mapenzi haya
asikuambie mtu bhana primary raha bhana
Nakumbuka hela zetu....Bring back our Money