Ebu niambie unapoona hii kitu unamkumbuka nani katika mahusiano

Ebu niambie unapoona hii kitu unamkumbuka nani katika mahusiano

Enzi zetu ilikua tofauti , kama ikitokea kuna mwanafunzi ana bf tulikua tunamtenga na ilikua si rahisi kuona watu wenye mahusiano. Tena kipindi kile mtu una 16yrs bado uko primary, nakumbuka kulikua na maadili mema sio kama leo.
 
Mm nikiwa la sita demu aliniomba urafiki nikatii sasa issue ilikuwa ananilazimisha nika 👣 mimi nikawa nakwepa siku jamaa wakaniambia jamaa fulani kapita, dah.. Nilipata maumivu Sijawahi ona.
 
Mie nakumbuka mchakamchaka! Na kufagia shule! Damn I hated it.
 
Nikiwa la tano kuna dada nilimpenda sana, nilikuwa siondoki kwenda shule hadi nimuone anapita ndo nafuata nyuma. Sikuwahi kufanya nae matusi, ila kwakweli namfeel.

Popote ulipo Juliana, pokea busu hili mwaaaaaa

Ahaaaaaaaaa, matusi ndo nini mkuu?
 
hahahahaha kweli umetukumbusha wengi mbali na hilo neno....Mwanafunzi akiongelea kuhusu mambo ya mapenzi tulikuwa tunasema ANAONGEA MATUSI.....tunamuona waajabuuu....Hasa wanafunzi wanaotoka Dar tuliwaona wanaongea matusii


Hahaha..mkuu, umenikumbusha mbali sana na hilo neno "kufanya matusi".
 
hahahahaha kweli umetukumbusha wengi mbali na hilo neno....Mwanafunzi akiongelea kuhusu mambo ya mapenzi tulikuwa tunasema ANAONGEA MATUSI.....tunamuona waajabuuu....Hasa wanafunzi wanaotoka Dar tuliwaona wanaongea matusii

lakini watoto wa siku hizi matusi ndo yenyewe kwao
 
nani amewahi kufanya michezo kama hii enzi zileeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

20121011_183801.jpg
ndio tunaanza hivyo haooooooooooo


20121011_183805.jpg
waleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

20121011_183813.jpg
bye byeeeeeeeeeeeeeee tutaonana keshooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Dah Mkuu umenikumbusha mbali kweli yani. kuna bibie mmoja nilitokea kumpenda huwezi kuamini nilikuwa ndo kwanza darasa la pili,...yaan hadi naua class 7 tulikuwa mabest ile mbaya! Tukaja poteza nae, nimekuja kukuta nae juzijuzi(now we are more than 22) amekuwa amebadilika na hana msisimko tena na mimi.

Inaniumiza sana hii kitu.

Anyway wherever you are I'll not stop to love you TRS L.

mmh haya mapenzi haya
 
View attachment 204940

Najua utakataa lakini ulipo kuwa shule ya msingi kuna mtu alikuwa anakuumiza nafsi na hatimaye ukatengana naye mara baada ya kumaliza. Sasa basi napenda upate fursa ya kuieleza jamii nini unakumbuka unapoiona hiyo kitu hapo juu katika hadithi yako ya mahusiano. Maana wengi wetu tumeanza kubarehe tukiwa shule za msingi na kama unavyo jua mihemko pindi tunapo barehe.


hiyo picha naona mti mkubwa umeingia kwenye tobo kubwa!.. sidhani kama inaakisi maudhui ya shule ya msingi. shule ya msingi hakuna matobo makubwa hivyo waala hakuna miti mikubwa hivyo
 
Nakumbuka nilikua na mpenzi bas mnaishia stor na kunichungulia vititi ninapotoa shati likagongwe muhuri tukiwa drs 7. Siku hizi ameshaoa japo mkewe sijawahi mwona ila ye tunastor kama kawa. Love sana G.M
 
Sisi tuliosoma mikoani enzi hizo tunachanga...Mwingine anakuja na mahindi ya kukaanga (makukuru) yaliyoloweshwa katika maji, mwingine anakuja na NYANYA au Blue band, mwingine anakuja na Parachichi...Parachichi kwaajili ya kulia makande ya shule na nyanya ya kachumbari....Duhhh...sooo funny

I wish irudie




asikuambie mtu bhana primary raha bhana
 
M nakumbuka ilikuwa ikigongwa tu kengele la mapumziko mi na wenzangu wawili tunatoroka kwenda kuogelea mton enz hizo nipo drs la 5 mwaka 2005
 
Back
Top Bottom