Euaggelion03
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 722
- 790
Bwn Maxcence ni mtu rahimu sana (humble).Habari za jioni wanabodi.
Poleni kwa stress za makanikia party 2.
Kama kawaida yangu huwa sipendi kuwachosha kwa porojo nyingi.
Nimekuja kwenu mnitoe tongotongo mwenzenu.
Katika izi siku mbili kuna Uzi uliwekwa humu wa kutaka kujua historia ya jf.Sasa kwa bahati nzuri na Mimi nilipata nafasi ya kutoa comment ktk Uzi ule.
Jambo LA kunishangaza Leo nimekuta notification...ile kuiangalia nakutana na like ya Mzee mzima Maxence Melo ktk comment yangu[emoji15] [emoji15]
Je,hii hutokea Mara kwa mara au ni kitu cha bahati tu kwetu sisi tuliozaliwa na ngekewa zetu?
Naomba mnijibu kwa staha jamani maana kuuliza sio ujinga.
Karibuni waungwana.
Wewe alishawahi hata kukuenjoy mkuu?Kwa ninavyomjua max hiyo like ni ya kuku enjoy tu hujui kitu
Nashukuru kwa maelezo mkuuBwn Maxcence ni mtu rahimu sana (humble).
Anafuatilia sana usiwe na wasi ni v ery social !!
hawezi kuenjoy ma great thinker wenzakeWewe alishawahi hata kukuenjoy mkuu?
Hahaha...ama kweli mbaazi zikikosa maua husingizia juahawezi kuenjoy ma great thinker wenzake
Huyo ndo anayekufanya utambe humu kwa kila tambo huku umejificha nyuma ya keyboard kwa majina hewa
Oky bas sawa mpe heshima yake mwambie ngosha anakusalimia sanaHuyo ndo anayekufanya utambe humu kwa kila tambo huku umejificha nyuma ya keyboard kwa majina hewa
Amezipata mkuu
Hahaha ....idea zimegongana mkuuUmeniibia uzi wangu Mkuu hii idea ni yangu naomba mods muufute Mara 1
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu tupongezane mkuu maana kula LIKE ya mtu mzito Melo sio jambo la kisport sportMimi yenyewe nimekula Like ya JF FOUNDER Maxence Melo Salute sana Brother!!
Yeah salute kwakeKaribu tupongezane mkuu maana kula LIKE ya mtu mzito Melo sio jambo la kisport sport
Kama hiyo picha ndo wewe...nakukaribisha lunch na nauli nitatoa[emoji3]