Ebu niambieni,je hii ni kawaida tu humu?

Euaggelion03

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
722
Reaction score
789
Habari za jioni wanabodi.
Poleni kwa stress za makanikia party 2.
Kama kawaida yangu huwa sipendi kuwachosha kwa porojo nyingi.
Nimekuja kwenu mnitoe tongotongo mwenzenu.
Katika izi siku mbili kuna Uzi uliwekwa humu wa kutaka kujua historia ya jf.Sasa kwa bahati nzuri na Mimi nilipata nafasi ya kutoa comment ktk Uzi ule.
Jambo LA kunishangaza Leo nimekuta notification...ile kuiangalia nakutana na like ya Mzee mzima Maxence Melo ktk comment yangu[emoji15] [emoji15]
Je,hii hutokea Mara kwa mara au ni kitu cha bahati tu kwetu sisi tuliozaliwa na ngekewa zetu?
Naomba mnijibu kwa staha jamani maana kuuliza sio ujinga.
Karibuni waungwana.
 
Bwn Maxcence ni mtu rahimu sana (humble).
Anafuatilia sana usiwe na wasi ni v ery social !!
 
Back
Top Bottom