Ebu shangaa kikwenu tuone

what da....!

no offense hiyo kitu original from the Bronx...
 
are you serious!!!
wa-nigeria wanavyoshangaa kizungu
 
Chiii! Wanyantuzu-Bariadi (Tafadhali mtu asinisahihishe, kama unataka weka ya kwako!!!)
 
Chuu!, babehi!, yeee!, Uwi! Mayu nene! = Kisukuma + Kinyamwezi
 
nimekuelewa....haina haja ya bifu ni utani tu
Wasukuma wa Mwanza na Wanyantuzu ni tofauti. Kwa mfano ntuzu hushaangaa kwa Goshinaga, lakini wa Mwagala husema Gashinaga! Hakuna bifu mkuu!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…