Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,168
- 1,549
Maweeeee!
Bojoo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maweeeee!
una njaa? Nenda ukale
Si kabila leta hatushangai coz si sote ni wajanja
Goshinaga!!! Wanyantuzu--Bariadi
Ishiiiiiiii........!!!! Unyamwezini na usukumani
Jaa.!!!! Kwa akina mjomba Mkude morogoro
Chiii! Wanyantuzu-Bariadi (Tafadhali mtu asinisahihishe, kama unataka weka ya kwako!!!)
hahahaaa hiyo nimeikubali
wikaire obhande webhire- (ghasarekire)mbe! amang'ana ghasarikile!
Wasukuma wa Mwanza na Wanyantuzu ni tofauti. Kwa mfano ntuzu hushaangaa kwa Goshinaga, lakini wa Mwagala husema Gashinaga! Hakuna bifu mkuu!!!!nimekuelewa....haina haja ya bifu ni utani tu