No 0ne Member Joined May 22, 2014 Posts 96 Reaction score 102 Dec 6, 2018 #1 Wakuu naomba kujuzwa mchakato mzima wa kubadilisha jina, na madhara yake, vp kuhusu vyeti yako je na vyenyewe vitabadilishwa? kama umewahi kubadilisha jina usisite kuleta uzoefu wako hapa tafadhali.
Wakuu naomba kujuzwa mchakato mzima wa kubadilisha jina, na madhara yake, vp kuhusu vyeti yako je na vyenyewe vitabadilishwa? kama umewahi kubadilisha jina usisite kuleta uzoefu wako hapa tafadhali.