Ebu tujuzane kubadilisha jina na madhara yake.

Ebu tujuzane kubadilisha jina na madhara yake.

No 0ne

Member
Joined
May 22, 2014
Posts
96
Reaction score
102
Wakuu naomba kujuzwa mchakato mzima wa kubadilisha jina, na madhara yake, vp kuhusu vyeti yako je na vyenyewe vitabadilishwa? kama umewahi kubadilisha jina usisite kuleta uzoefu wako hapa tafadhali.
 
Back
Top Bottom