enock yusto
JF-Expert Member
- May 28, 2014
- 377
- 341
Umechagua Sehemu sahihi ya kuhamia
Wew ni kilazaAsee sijui kwanini mi nilikuaga sijui kama mtu unaweza hama timu uliyoishabikia tangu utotoni na kuiacha ukubwani,Mi shabiki wa manu wayback sana ila tangu mwaka juzi nimejikuta nahamia Liverpool najikuta naishabikia kuanzia jezi,wachezaji wote ,kocha mpaka uwanja wao .
Naamini siko peke yangu ila nakoelekea nahisi ntaachana na manu rasmi
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu mrudishen WEB maana alikuwa ndio nguzo yenu mzee wa kuming'unya bazoka alipoona anaowategemea si msaada tena kabwaga manyangaShemeji amekulazimisha ushabikie Liverpool la sivyo anakata huduma!? N way usikubali kufa njaa na kukosa huduma muhimu,mzingatie alichokuagiza,mana akikata huduma utaeumia ni wewe sisi wengine hatutokuwa na msaada
Wew ni kilaza
Hivi liverpool nayo ni team ya mpira??
Ni kikund kinachorukaruka uwanjan huku kikisubili var iwape point 3
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu haupo pekeako tupo wengi sijui ndo tumeamia kwel mm man u ikipigwa nafurah kinouma ikishinda naumia sijui hii roho nimeitoa wapAsee sijui kwanini mi nilikuaga sijui kama mtu unaweza hama timu uliyoishabikia tangu utotoni na kuiacha ukubwani,Mi shabiki wa manu wayback sana ila tangu mwaka juzi nimejikuta nahamia Liverpool najikuta naishabikia kuanzia jezi,wachezaji wote ,kocha mpaka uwanja wao .
Naamini siko peke yangu ila nakoelekea nahisi ntaachana na manu rasmi
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu mrudishen WEB maana alikuwa ndio nguzo yenu mzee wa kuming'unya bazoka alipoona anaowategemea si msaada tena kabwaga manyanga
nawakumbusha tu huu n mwaka wa 7 miaka 30 sio mingi mkuu uspoteteze muda wako womenunited sio baba yako njoo huku kwa wajanja wenye mipango mmebak jina tu dogo halland kaenda dortmund kaona atapoteza future yake tu hapo
#tukutanemeikwapalikinyanyuliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
without var man utd could join norwich on relegation zone..Unachekesha kweli wewe VAR FC, yaani miaka yoote hyo uliyodumu bila ubingwa Wa EPL ndo unatupigia kelele kwa matazamio ya kubeba msimu huu? Kwani wewe bila VAR ni mtu sasa!?