enock yusto
JF-Expert Member
- May 28, 2014
- 377
- 341
Asee sijui kwanini mi nilikuaga sijui kama mtu unaweza hama timu uliyoishabikia tangu utotoni na kuiacha ukubwani,Mi shabiki wa manu wayback sana ila tangu mwaka juzi nimejikuta nahamia Liverpool najikuta naishabikia kuanzia jezi,wachezaji wote ,kocha mpaka uwanja wao .
Naamini siko peke yangu ila nakoelekea nahisi ntaachana na manu rasmi
Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini siko peke yangu ila nakoelekea nahisi ntaachana na manu rasmi
Sent using Jamii Forums mobile app