Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,199
- 7,562
Kwa maoni yangu, China ni sawa na tajiri alie ibuka katikati ya kijiji cha watu maskini. Sasa badala ya kumuangalia kama kitisho, tunatakiwa kumuangalia kama fursa mpya kijijini na kuona namna tunavyoweza kumtumia kwa akili kulingana na mazingira yetu na kwa faida ya pande zote...
Kwani yale maswali ya essay ya kutoka kidato cha 2 kwenda cha 3 yanayokuambia 'discuss' wewe ulikuwa una discuss vipi peke yako?Mzee vp?, mbona unajiulizahalafu unajijibu sisi tukuelewe vp sasa, au umetumwa na wachina au jobo team
Teknolojia, soko la mazao yetu, nidhamu ya kazi.Kuhusu manufaa tunayoelekea kuyapata kutokana na hatua zinazochukuliwa kwa sasa tumeyajadili kiasi hapa Maono ya Rais mama Samia kuhusu uwekezaji nchini kwenye nyuzi 360
Hata hivyo, naona kama bado hatujaitumia vyakutosha fursa ya uhusiano wetu na China. Yaani bado naona ni kama tunaenda kuchota maji ziwani kwa kijiko halafu tunaenda nayo jangwani.
Watanzania tunataka nini kutoka China? Hili swali ni very important. Kuna fursa inatupita hapa.
Wanakufilisi je mkuu? Any way badala ya nini wewe unashauri iwe nini?Wawekezaji ili waje kufilisi rasilimali zetu
Tatizo limeanzia juu yaani serikali haiamini wenye vipaji.Wanakufilisi je mkuu? Any way badala ya nini wewe unashauri iwe nini?
Maana pia tuna tatizo la watanzania ambao wataki kilichopo wala kinachotaka kufanyika lakini wakati huo huo hawajui wanataka nini.
Kwa mantiki hiyo, unadhani Tanzania tunataka nini kutoka China? Au tunavyoitumia fursa ya uhusiano wetu na China inatosha?Tatizo limeanzia juu yaani serikali haiamini wenye vipaji.
Kuna watu wangefundishwa kutumia rasilimali zetu wangeweza kufanya maajabu.
"Tanzania haitaki nini kwa china sema china ndo inataka nini kwa Tanzania" ~kinyume chake ni sahihiKwa mantiki hiyo, unadhani Tanzania tunataka nini kutoka China? Au tunavyoitumia fursa ya uhusiano wetu na China inatosha?
Dah! Wewe ukiwa na mchumba, halafu yeye anajua anataka ni ni kwako nalafu wewe hujui unataka nini kwake wala hutaki kujua, unatarajia huyo mchumba akufanyie ni ni? Na akikufanyia nini utalalamika kwa nini?"Tanzania haitaki nini kwa china sema china ndo inataka nini kwa Tanzania" ~kinyume chake ni sahihi
Uhusiano wetu na china kwetu unamanufaa kidogo, sema wao ndo wanafaidi hatariDah! Wewe ukiwa na mchumba, halafu yeye anajua anataka ni ni kwako nalafu wewe hujui unataka nini kwake wala hutaki kujua, unatarajia huyo mchumba akufanyie ni ni? Na akikufanyia nini utalalamika kwa nini?
Anyway, nafikiri suala la kwamba hakuna tunachotaka purse' sio sahihi. Sualani kwamba tunatumia hiyo fursa chini ya kiwango, kwa hiyo ni vyema tukafikiria maeneo mengine zaidi ambayo tunaweza kutumia uhusiano huo kwa manufaa zaidi.
Yeah, tunaenda vizuri sasa. Mjadala 'tufanyeje sasa ili tunufaike zaidi kulingana na mazingira yetu?' Ikumbukwe ishu sio kunufaika sawa maana hilo haliwezekani, ishu ni tunufaike zaidi kwa kadiri iwezekanavyo.Uhusiano wetu na china kwetu unamanufaa kidogo, sema wao ndo wanafaidi hatari
Kwa nini unawachukia mkuu? Sema tu inawezekana mma una hoja ya msingi, au ni mtizamo tu ambao uko nini ya kichwa chako, ila kupitia mjadala huu, ukifunguka unaweza kupata picha mpya kabisa ambayo hukuwa nayo hapo kabla.Kudos, Azizi
Umetengeneza points valid sana.
Unfortunately, hate yangu kwa China ita cloud opinion yangu kwenye hili.
Wacha niangalie mjadala from the sidelines
Tanzania yetu ijizatiti katika kukuza elimu hasa elimu inayotumia rasilimali zetu yaani hapo watafute watalamu kutoka nchini wakapate mafunzo maalumYeah, tunaenda vizuri sasa. Mjadala 'tufanyeje sasa ili tunufaike zaidi kulingana na mazingira yetu?' Ikumbukwe ishu sio kunufaika sawa maana hilo haliwezekani, ishu ni tunufaike zaidi kwa kadiri iwezekanavyo.
Tuna hamu ya kubakwa...tunatamani kubakwa.....Yaani kubakwa kiuchumi...unalo swali jingine?Mwaka jana, kuna mtafiti mmoja kutoka kitengo cha utafiti wa utekelezaji wa sera za nje za China alituuliza ' hivi Africa inataka nini China?' Akiwa na maana waafrica tungetamani kunufaikaje na diplomasia ya kiuchumi kati ya nchi zetu na China ambayo kwa sasa Inaongoza kwa uchumi,teknolojia na upana wa soko duniani. Ukweli ni kwamba hatukuwa na jibu lililonyooka kwamba ni nini hasa tunataka....