Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,840
- 7,920
Nani kakudanganya kama China inaongoza Kwa technologia duniani?Mwaka jana, kuna mtafiti mmoja kutoka kitengo cha utafiti wa utekelezaji wa sera za nje za China alituuliza ' hivi Africa inataka nini China?' Akiwa na maana waafrica tungetamani kunufaikaje na diplomasia ya kiuchumi kati ya nchi zetu na China ambayo kwa sasa Inaongoza kwa uchumi,teknolojia na upana wa soko duniani. Ukweli ni kwamba hatukuwa na jibu lililonyooka kwamba ni nini hasa tunataka.
Sasa labda niwaulize wenzangu, hivi ni nini Tanzania tunataka kutoka China?
Ikumbukwe pamoja na mambo mengine, China inatekeleza mpango wake mkubwa wa 'Belt and Road' ambao unahusisha kujenga miundombinu kabambe kupitia baharini na nchi kavu kuiunganisha China na mabara mengine ikiwemo Africa ili kufikisha bidhaa zao sokoni kwa wepesi. Wakati huo huo Africa hakuna cha maana tunachouza China kwenye soko la watu 1.3 b.
Kwa sasa kuna hatua nzuri sana zinachukuliwa kuwashawishi Makampuni ya Kichina yaje kuwekeza hasa kwenye viwanda vizito vya electronics, magari na.k ambapo washakubali kufanya hiyo kupitia kampuni zao zaidi ya 800 ambapo tutapata manufaa mbalimbali makubwa kwa kiasi flani.
Pamoja na hiyo, tunashauri maeneo mengine ya kuimarisha ushirikiano kama ifuatavyo;-
1. Tuone namna ya kuwashawishi waweke mtaji na teknolojia kwenye kilimo, mfano cha soya halafu sisi tunachangia ardhi na nguvu, soko liko China. Kwa hiyo pamoja na watu wetu kupata ajira lakini pia tunakuza uchumi kwa namna hiyo. Kila mtu anatoa kile alichonacho kutengeneza faida.Ikumbukwe kwa sasa USA ndio huuza matani na matani ya Soya China na bado uhitaji ni mkubwa sana.
2. Tuwashawishi wawekeze mtaji kwenye ufugaji nyuki kwa kutoa vifaaa halafu watanzania wanafuga kwenye mapori yetu halafu asali tunauza China. Ikumbukwe tuna mapori ya kutosha na ufugaji nyuki hauharibu mazingira.
3. Tutulie tujiulize hivi tunataka nini kutoka China kwenye soko la watu 1.3 b, Kitovu cha teknolojia na uchumi duniani, kisha tuboreshe sera zetu za nje ipasavyo ili kuweza kunufaika zaidi na uhusiano wetu na hawa rafiki zetu.
Nimalizie kwa kuwauliza tena ndugu zangu, hivi tunataka nini kutoka China?
NajuaNani kakudanganya kama China inaongoza Kwa technologia duniani?
Mkuu umeongea vyema, hata hiyo kuhusu hiyo la kusomesha, ukumbuke tayari tuna graduate kibao na hawana kazi wala hawawezi kujiajiri. Unasemaje kuhusu hilo?Tunapaswa kushawish wachina wachukue vijana wetu weng zaid ya sasa kwenda kusoma vyuo vya China ktk masomo ya injinia na udaktar wa watu wanyama na mimea lkn pia baadh ya malighaf wachukue kwa shart ya kuziboresha hapahapa mfano mkonge,pamba ziondoke km bidhaa yaan wachukue nyuzi au kamba za katani lkn pia na sisi wenyewe tujikaze tukitegemea kila jambo kufanyiwa mwishowe tutaharibikiwa.
Kwa hiyo sheria ya ubakaji ipunguzwe makali?Tuna hamu ya kubakwa...tunatamani kubakwa.....Yaani kubakwa kiuchumi...unalo swali jingine?
Mkuu, nadhani hizi technology tutazipata wanapowekeza na kuajiri watanzania, watakuwa wanajifunza hizo technology taratibu. Pia nadhani technology tunazohitaji ni simple tu kama za kutengeneza simple processing industries.Tunahitaji technolo2rahisi ajili proceesing and final product ajili nchi sadcc eac etc....mtuwe viwanda hata 3000 kila raw material isitoke bila kuwa processed .....kuongeza thamaniii...tunahitaji wachina technology ba partnerships
Kivipi mkuu? Unajua tuna watu kibao wenye degree na kuendelea na hawana kazi? Au unakusudia kitu tofauti?Tanzania tatizo elimu
Leo mnawageuka tena wakomunist wenye sifa ya kutokuwa mabeberu🤷Mwaka jana, kuna mtafiti mmoja kutoka kitengo cha utafiti wa utekelezaji wa sera za nje za China alituuliza ' hivi Africa inataka nini China?' Akiwa na maana waafrica tungetamani kunufaikaje na diplomasia ya kiuchumi kati ya nchi zetu na China ambayo kwa sasa Inaongoza kwa uchumi,teknolojia na upana wa soko duniani. Ukweli ni kwamba hatukuwa na jibu lililonyooka kwamba ni nini hasa tunataka.
Sasa labda niwaulize wenzangu, hivi ni nini Tanzania tunataka kutoka China?
Ikumbukwe pamoja na mambo mengine, China inatekeleza mpango wake mkubwa wa 'Belt and Road' ambao unahusisha kujenga miundombinu kabambe kupitia baharini na nchi kavu kuiunganisha China na mabara mengine ikiwemo Africa ili kufikisha bidhaa zao sokoni kwa wepesi. Wakati huo huo Africa hakuna cha maana tunachouza China kwenye soko la watu 1.3 b.
Kwa sasa kuna hatua nzuri sana zinachukuliwa kuwashawishi Makampuni ya Kichina yaje kuwekeza hasa kwenye viwanda vizito vya electronics, magari na.k ambapo washakubali kufanya hiyo kupitia kampuni zao zaidi ya 800 ambapo tutapata manufaa mbalimbali makubwa kwa kiasi flani.
Pamoja na hiyo, tunashauri maeneo mengine ya kuimarisha ushirikiano kama ifuatavyo;-
1. Tuone namna ya kuwashawishi waweke mtaji na teknolojia kwenye kilimo, mfano cha soya halafu sisi tunachangia ardhi na nguvu, soko liko China. Kwa hiyo pamoja na watu wetu kupata ajira lakini pia tunakuza uchumi kwa namna hiyo. Kila mtu anatoa kile alichonacho kutengeneza faida.Ikumbukwe kwa sasa USA ndio huuza matani na matani ya Soya China na bado uhitaji ni mkubwa sana.
2. Tuwashawishi wawekeze mtaji kwenye ufugaji nyuki kwa kutoa vifaaa halafu watanzania wanafuga kwenye mapori yetu halafu asali tunauza China. Ikumbukwe tuna mapori ya kutosha na ufugaji nyuki hauharibu mazingira.
3. Tutulie tujiulize hivi tunataka nini kutoka China kwenye soko la watu 1.3 b, Kitovu cha teknolojia na uchumi duniani, kisha tuboreshe sera zetu za nje ipasavyo ili kuweza kunufaika zaidi na uhusiano wetu na hawa rafiki zetu.
Nimalizie kwa kuwauliza tena ndugu zangu, hivi tunataka nini kutoka China?
Mkuu, kupitia huo mpango wao wa "Belt and Road Initiative" wachina hawana jipya, wanatafuta tu kumiliki 'makoloni' kinyemela kupitia masharti ya mikopo yasiyotekelezeka..Ikumbukwe pamoja na mambo mengine, China inatekeleza mpango wake mkubwa wa 'Belt and Road' ambao unahusisha kujenga miundombinu kabambe kupitia baharini na nchi kavu kuiunganisha China na mabara mengine ikiwemo Africa ili kufikisha bidhaa zao sokoni kwa wepesi. Wakati huo huo Africa hakuna cha maana tunachouza China kwenye soko la watu 1.3 b.
Nimependa namba mbili Ila nasikia wachina wakijua unajua kichina kama ni katika mradi wanakutimua.Anayelijua hili anisaidieMwaka jana, kuna mtafiti mmoja kutoka kitengo cha utafiti wa utekelezaji wa sera za nje za China alituuliza ' hivi Africa inataka nini China?' Akiwa na maana waafrica tungetamani kunufaikaje na diplomasia ya kiuchumi kati ya nchi zetu na China ambayo kwa sasa Inaongoza kwa uchumi,teknolojia na upana wa soko duniani. Ukweli ni kwamba hatukuwa na jibu lililonyooka kwamba ni nini hasa tunataka.
Sasa labda niwaulize wenzangu, hivi ni nini Tanzania tunataka kutoka China?
Ikumbukwe pamoja na mambo mengine, China inatekeleza mpango wake mkubwa wa 'Belt and Road' ambao unahusisha kujenga miundombinu kabambe kupitia baharini na nchi kavu kuiunganisha China na mabara mengine ikiwemo Africa ili kufikisha bidhaa zao sokoni kwa wepesi. Wakati huo huo Africa hakuna cha maana tunachouza China kwenye soko la watu 1.3 b.
Kwa sasa kuna hatua nzuri sana zinachukuliwa kuwashawishi Makampuni ya Kichina yaje kuwekeza hasa kwenye viwanda vizito vya electronics, magari na.k ambapo washakubali kufanya hiyo kupitia kampuni zao zaidi ya 800 ambapo tutapata manufaa mbalimbali makubwa kwa kiasi flani.
Pamoja na hiyo, tunashauri maeneo mengine ya kuimarisha ushirikiano kama ifuatavyo;-
1. Tuone namna ya kuwashawishi waweke mtaji na teknolojia kwenye kilimo, mfano cha soya halafu sisi tunachangia ardhi na nguvu, soko liko China. Kwa hiyo pamoja na watu wetu kupata ajira lakini pia tunakuza uchumi kwa namna hiyo. Kila mtu anatoa kile alichonacho kutengeneza faida.Ikumbukwe kwa sasa USA ndio huuza matani na matani ya Soya China na bado uhitaji ni mkubwa sana.
2. Tuwashawishi wawekeze mtaji kwenye ufugaji nyuki kwa kutoa vifaaa halafu watanzania wanafuga kwenye mapori yetu halafu asali tunauza China. Ikumbukwe tuna mapori ya kutosha na ufugaji nyuki hauharibu mazingira.
3. Tutulie tujiulize hivi tunataka nini kutoka China kwenye soko la watu 1.3 b, Kitovu cha teknolojia na uchumi duniani, kisha tuboreshe sera zetu za nje ipasavyo ili kuweza kunufaika zaidi na uhusiano wetu na hawa rafiki zetu.
Nimalizie kwa kuwauliza tena ndugu zangu, hivi tunataka nini kutoka China?
China ni nchi ambayo kiongozi anaweza kutakatisha fedha akala mlungula bila kelele. Mfano Kenya na SGR yao; kikwete na Bandari ya Bagamoyo pamoja na bomba la gesiMwaka jana, kuna mtafiti mmoja kutoka kitengo cha utafiti wa utekelezaji wa sera za nje za China alituuliza ' hivi Africa inataka nini China?' Akiwa na maana waafrica tungetamani kunufaikaje na diplomasia ya kiuchumi kati ya nchi zetu na China ambayo kwa sasa Inaongoza kwa uchumi,teknolojia na upana wa soko duniani. Ukweli ni kwamba hatukuwa na jibu lililonyooka kwamba ni nini hasa tunataka.
Sasa labda niwaulize wenzangu, hivi ni nini Tanzania tunataka kutoka China?
Ikumbukwe pamoja na mambo mengine, China inatekeleza mpango wake mkubwa wa 'Belt and Road' ambao unahusisha kujenga miundombinu kabambe kupitia baharini na nchi kavu kuiunganisha China na mabara mengine ikiwemo Africa ili kufikisha bidhaa zao sokoni kwa wepesi. Wakati huo huo Africa hakuna cha maana tunachouza China kwenye soko la watu 1.3 b.
Kwa sasa kuna hatua nzuri sana zinachukuliwa kuwashawishi Makampuni ya Kichina yaje kuwekeza hasa kwenye viwanda vizito vya electronics, magari na.k ambapo washakubali kufanya hiyo kupitia kampuni zao zaidi ya 800 ambapo tutapata manufaa mbalimbali makubwa kwa kiasi flani.
Pamoja na hiyo, tunashauri maeneo mengine ya kuimarisha ushirikiano kama ifuatavyo;-
1. Tuone namna ya kuwashawishi waweke mtaji na teknolojia kwenye kilimo, mfano cha soya halafu sisi tunachangia ardhi na nguvu, soko liko China. Kwa hiyo pamoja na watu wetu kupata ajira lakini pia tunakuza uchumi kwa namna hiyo. Kila mtu anatoa kile alichonacho kutengeneza faida.Ikumbukwe kwa sasa USA ndio huuza matani na matani ya Soya China na bado uhitaji ni mkubwa sana.
2. Tuwashawishi wawekeze mtaji kwenye ufugaji nyuki kwa kutoa vifaaa halafu watanzania wanafuga kwenye mapori yetu halafu asali tunauza China. Ikumbukwe tuna mapori ya kutosha na ufugaji nyuki hauharibu mazingira.
3. Tutulie tujiulize hivi tunataka nini kutoka China kwenye soko la watu 1.3 b, Kitovu cha teknolojia na uchumi duniani, kisha tuboreshe sera zetu za nje ipasavyo ili kuweza kunufaika zaidi na uhusiano wetu na hawa rafiki zetu.
Nimalizie kwa kuwauliza tena ndugu zangu, hivi tunataka nini kutoka China?
Hivi kweli tunahitaji watu kutoka nje kuja kuwekeza hata kwenye ufugaji nyuki?!!!2. Tuwashawishi wawekeze mtaji kwenye ufugaji nyuki kwa kutoa vifaaa halafu watanzania wanafuga kwenye mapori yetu halafu asali tunauza China. Ikumbukwe tuna mapori ya kutosha na ufugaji nyuki hauharibu mazingira.
Kuhusu manufaa tunayoelekea kuyapata kutokana na hatua zinazochukuliwa kwa sasa tumeyajadili kiasi hapa Maono ya Rais mama Samia kuhusu uwekezaji nchini kwenye nyuzi 360
Hata hivyo, naona kama bado hatujaitumia vyakutosha fursa ya uhusiano wetu na China. Yaani bado naona ni kama tunaenda kuchota maji ziwani kwa kijiko halafu tunaenda nayo jangwani.
Watanzania tunataka nini kutoka China? Hili swali ni very important. Kuna fursa inatupita hapa.
Mbona jibu Mama alishasema kwenye hotuba yake tunataka ajira kuwe na mzunguko wa pesa...Kuhusu manufaa tunayoelekea kuyapata kutokana na hatua zinazochukuliwa kwa sasa tumeyajadili kiasi hapa Maono ya Rais mama Samia kuhusu uwekezaji nchini kwenye nyuzi 360