Tetesi: Economic freedom ranking

Sasa hiki ni kilio cha samaki, machozi yanabaki ndani ya MAJI. Tunachoweza kukusaidia ni kukupa namba za Simu za hao jamaa ili uwaulize hayo maswali. Pole sana jirani.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mkuu....ila haukosi misemo ya wahenga..Eti machozi ya samaki hata alie aje yanabaki ndani ya majiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
How can you be generous while you do receive food aid every year?. That is non sense. Sisi tunazungimzia vitu ambavyo vinaleta maendeleo ya jamii na wananchi wake, Kenya inapotoa kwa nchi zingine, mkenya masikini inamsaidia nini?
Ndio maana nika kwambia ranking nyengine ni za kijinga, eti economi freedom ilihali licha ya Kenya kua naa njaa, ni watanzania wengi mnakufa kuliko wakenya, How now??? if you were really free economically si mgekua na uwezo wa kukwepa magonjwa na vitu vinginevyo??? Economic freedom mbona bado mko miongoni mwa nchi zinazopokea misaada?

Nchi kama Iran iko na sanctions kibao, Hakuna lolote wanalo export wala ku import, licha ya hivyo, Bado wameweza kujimudu kiuchumi kwa kujitegemea wenyewe, alafu eti wanawekwa Chini kwenye economic freedom... how now?? wakati hao wanajitegemea wenyewe kwa kila kitu!

Nina uhakika zaidi ya 80% ya mashini zenu hapo Tanzania ni "made in China" laikini kulingana na hii ranking mko mbele yao kwa kujitegemea wenyewe kiunchumi! πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kiingereza kiiiiiiingi na kumbe kichwani hamna kitu economic freedom ni kitu cha kipuuzi!???...hawa wakenya wa siku hizi wanamatatizo gani?
 
China na Russia ndo wanaongoza kwa socialism , hauwezi ukaniambia eti mnazishinda hizi nchi kwa kitu ambacho wao ndo wanaongoza, kwahivyo ranking inakaa ya kipuzi
China is no more socialist, be updated
 
hebu acheni maneno Hermanus Steyn anataka hela zake mkachukue ndege yenu(jokes)
 
Kiingereza kiiiiiiingi na kumbe kichwani hamna kitu economic freedom ni kitu cha kipuuzi!???...hawa wakenya wa siku hizi wanamatatizo gani?
Sijasema economic freedom ni upuzi, nimesema hii ranking ya econimic freedom ni upuzi mtupu,

Ni kama hii ranking ya worlds most commercially active cities, eti Nairobi ni number 6 duniani, Kwenye ranking kama hizi eti akina London,NY, Dubai, Tokyo,Miami wameachwa nyuma, how now???? Ranking kama hizi ni za kusoma alafu unafurahia alafu unasahau manake ni upuzi mtupu manake kuna miji hapo imetulia tu na wanaongoza kwa kila kitu...





Kuna mtu anaishi Beijin ako na $5m lakini kwasababu ya biashara anachukua deni la $10m kwahivyo kwa economic freedom utakuta amewekwa nyuma ya jamaa mwengine hapo tz ako na $50k lakini hana deni la mtu....... sasa hapo kati ya huyo wa China na huyo wa Tanzania nani ndo tajiri anaeishi maisha mazuri kulingana na wewe?
 
World's rising urban hubs...unaelewa maana yake??.. mbona jamaa unayumba,halafu maisha mazuri inategemea na fikra za mtu,we unadhani mtu mwenye biashara ya $15 in China na loan juu kama ulivyotolea mfano,unadhani atakuwa na maisha mazuri kuzidi mtu mwenye biashara ya $10 bongo...???
 
Hiki kilio chako nimekisikia lakini sina uwezo wa kukusaidia, ni sawa na mtu anayeuliza iweje Kenya kuwa katika kundi la middle income countries wakati hata chakula ni shida, unemployment is the highest, slums everywhere, deni la taifa halibebeki.
 
On this useless "economic freedom" ranking nakubaliana na wewe.
But on dynamic cities sikubaliani coz "dynamic cities" measures speed,change,mometum and evolution of a city.London Tokyo or Sydney are mature cities so growth/evolution will be slower than young-ish cities even though those old cities are far richer or have more commercial activity.Ni kama kusema Ghana's is growing at 8% but South Africa grows at 2%...even if there's far bigger economic activity in SA it means Ghana is more economically dynamic.
Hiki kilio chako nimekisikia lakini sina uwezo wa kukusaidia, ni sawa na mtu anayeuliza iweje Kenya kuwa katika kundi la middle income countries wakati hata chakula ni shida, unemployment is the highest, slums everywhere, deni la taifa halibebeki.
Wewe huwezi sema chochote cha muhimu au kuwa mtaalamu hata kidogo bcoz all your responses and thinking is always based on raw emotions and ego. Mambo yako ni "emotional decisions" rather than rational ,dispassionate and logical thinking .This thinking pattern hurts you too usione kama ni Kenya unakandamiza tu...watu kama nyie you never learn to be open minded.
 
lipeni deni ya South africa kwanza ..deni yetu ni 1.5 yenu yet our economy is bigger
 
JLL’s City Momentum Index, now in its sixth iteration, focuses on momentum for the world’s most commercially active cities.
Tracking a range of socioeconomic and commercial real-estate indicators to identify attributes for success over the short term, the City Momentum Index ranked 131 major established and emerging business hubs across the globe to identify the urban economies and real-estate markets that are currently undergoing the most rapid expansion.

------------------------------------------



Kwahivyo unakubali kwamba Nairobi ndio ya sita duniani kwa ukuaji wa real estate and urbanization????

Alafu kuhusu huo mfano wako wa $15 in China Vs $10 in bongo, Yes maisha ya mchina ni mazuri hata kama angekua anaishi kwa $5 na mbongo awe anaishi kwa hio $10, Hao jamaa wanatengeneza bidhaa huko kwao, wasafirishe hadi huku kwetu, walipe tax ya 25% tena baada ya hio garama yote badoo bidhaa zao ni rahisi kuliko zile tunatengeneza huku ambazo hazilipishwi hio 25% tax... Unadhani huko kwao hizo bidhaa ni rahisi kiasi ghani????
 
Hiki kilio chako nimekisikia lakini sina uwezo wa kukusaidia, ni sawa na mtu anayeuliza iweje Kenya kuwa katika kundi la middle income countries wakati hata chakula ni shida, unemployment is the highest, slums everywhere, deni la taifa halibebeki.
Hilo si swali ghumu, tunajua formula inayotumika kujua Middle income country
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…