Sijasema economic freedom ni upuzi, nimesema hii ranking ya econimic freedom ni upuzi mtupu,
Ni kama hii ranking ya worlds most commercially active cities, eti Nairobi ni number 6 duniani, Kwenye ranking kama hizi eti akina London,NY, Dubai, Tokyo,Miami wameachwa nyuma, how now???? Ranking kama hizi ni za kusoma alafu unafurahia alafu unasahau manake ni upuzi mtupu manake kuna miji hapo imetulia tu na wanaongoza kwa kila kitu...
Nairobi joins 19 cities in Asia in a ranking of the world's rising urban hubs.
www.weforum.org
Kuna mtu anaishi Beijin ako na $5m lakini kwasababu ya biashara anachukua deni la $10m kwahivyo kwa economic freedom utakuta amewekwa nyuma ya jamaa mwengine hapo tz ako na $50k lakini hana deni la mtu....... sasa hapo kati ya huyo wa China na huyo wa Tanzania nani ndo tajiri anaeishi maisha mazuri kulingana na wewe?