Economic hitmen

Dada yangu unajidhalilisha, ficha uch.i wako watoto wanakuchungulia, Mu-sir nakipataje hicho kitabu??
 
Last edited by a moderator:
Mudawote uwe unatoa na mifano hai hapa kwetu Tanzania. Sisi tumesema mambo haya yameshatokea na yanaendelea kwa mikataba mirefu wewe unasema hakuna. Unatoa mfano wa Rwanda kuna nini huko cha kuwavutia EHMs??

Sasa leta hoja za kujibu hizi hapa.


 
Last edited by a moderator:
Wewe ni shetani, hivi umeliona la Muhimbili tu? Wewe lofa kweli kweli, nachukia sana watu kama wewe. Huko kote tumefikishwa na watu wezi kama lowasa
We jamaa unaharibu hii topic ni bora ukae kimya wanaojua watoe elimu kuliko we wa Zidumu fikra za mwenyekiti
 
Akili za KiCCM ni janga kwa Taifa
 
Huyo dada ni mpotoshaji kwa makusudi au kutokujua...

Huyu mtu ananiudhi sana watu wanatoa elimu nzuri ye analeta ujinga wake.
Mie mambo ya Economic hitman nilianza kusikia kwa Eng Habib Mnyaa bungeni wakati wanapitisha sheria za gesi kimagumashi.
Alielezea kwa kifupi na nikapata mwanga fulani.
Leo hapa watu wanatoa elimu halafu jitu jingine linapotosha kisa CCM jamaa ananiudhi sana.Huenda anajua au hajui kabisa kaamua tu kuvuruga topic ya watu
 

Huenda analinda maslahi fulani sio bure lakini ukweli uko wazi EHMs wapo sana tu. Wakati mwingine ni rahisi kuwatambua
 
Duniani kuna GENGE HATARI sana liitwalo ILLUMINATI.Genge hili linaloabudu shetani makao yake makuu yapo Marekani.Genge hili ndilo lenye KUMILIKI na KUDHIBITI taasisi zote kubwa za kimataifa zikiwemo hizi taasisi mbili MUMIANI zilizopo Brettonwoods Marekani yaani WORLD BANK na IMF.Hizi ni VAMPIRE INSTITUTIONS.Hizi ndio taasisi zinazofukarisha Afrika na Asia.
 

Wewe jamaa unaongea ujinga ujinga tu hutoi mfano wowote wa connection ya lowassa na hao economic hitmen,umekalia kulia Lia nna uhakika hicho kitabu hujakisoma wala nini wenzako wakina mu-sir na wenzake wanatoa mifano vivid kama vile mfano wa bagbo wa ivory coast , mwingine kauliza je Magufuli ana strong institution kumzidi Gaddafi?Hujui chochote kuhusu economic hitmen wewe. Kazi yako ni kuchanganya siasa maji taka na vitu sensitive kwenye Maisha yetu
 
Last edited by a moderator:
LAURENT GBAGBO - french special forces walkua wanashiriki vita mtaan kabisa na waasi kumuondoa tu kwa vile kibaraka wao ana mke wa kizungu wa kifaransa ndugu idrissa outara!!!

Nikusahihishe mkuu,ni Alassane Ouatara.Huyu ni kibaraka wa mabeberu kama ilivyokua kwa Mobutu Seseko wangineo barani Africa.Saddam Hussein na Muammar Gaddafi walikataa 'utumwa' kwa mabeberu.Ukapangwa mkakati wa kuwaondoa kabisa.
 
Nikusahihishe mkuu,ni Alassane Ouatara.Huyu ni kibaraka wa mabeberu kama ilivyokua kwa Mobutu Seseko wangineo barani Africa.Saddam Hussein na Muammar Gaddafi walikataa 'utumwa' kwa mabeberu.Ukapangwa mkakati wa kuwaondoa kabisa.

Exactly brother walimtoa Gbagbo wakamuweka huyo kibaraka Oatarra na hadi sasa dili zote za mafuta kule wanachimba Makampuni ya Kifaransa tu. Niliwahi kuambiwa hadi Gavana wa benki kuu na baadhi ya advisers wa Oatarra ni Wafaransa pure.

Leo hii Libya imekuwa nchi ya madeni makubwa wakatiilikuwa na uchumi mzuri tu na Wafaransa wanachukua mafuta kule pia. Ukikataa ku bow kwa hawa jamaa hawakubakizi.
 
This is true there is nothing from them which comes for free
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…